Rais Samia afanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa

Rais Samia afanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa

Nasubiri mkeka wa ma DC, shogaa angu lazima awepo, maana anavyofurahi huyooo, hatareeeeh.
Kwa hali ilivyo bora ufurahi kuwa Mtu wa Masjala kuliko hizi teuzi za Mama...

Hali si hali...
 
Vipi hawajaniteuwa huko!?
jina langu ni Hamza Muhammed Ajir. Naomba mniangalizie kisha mnijulishe
 
Waziri ni mkubwa kuliko mkuu wa mkoa,
Mkuu wa mkoa anaripoti kwa Waziri wa Tamisemi...
Mkuu wa mkoa anapeperusha bendera mkoani kwake tu, Waziri nchi nzima...
Waziri ndie serikali, yupo kwenye baraza la mawaziri lenye maamuzi makubwa kwa nchi....

Waziri pia anauwezo wa kumsweka mtu ndani, tushashuhudia hivyo sanaa....

Waziri ana diplomacy passport, mkuu wa mkoa hana...

Waziri ndie husaini mikataba ya uwekezaji

Waziri anakofia nyingi, mbunge pia
1. Mkuu wa Mkoa hawajibiki kwa waziri wa Tamisemi. Umesikia lini waziri wa Tamisemi amemkaripia au kumwadabisha Mkuu wa Mkoa yeyote? Mkuu wa Mkoa anawajibika kwa Rais tu na sio kwa Waziri yeyote.
2. Kupeperusha bendera nchi nzima hakumaanishi kuwa ni mkubwa kuliko Mkuu wa Mkoa. Waziri mandate yake ni mambo yaliyo chini ya wizara yake tu, wakati Mkuu wa Mkoa mandate yake ni more comprehensive.
3. Waziri kweli ni sehemu ya Baraza la Mawaziri lakini hili halimfanyi kuwa zaidi ya Mkuu wa Mkoa maana mkuu wake kwenye hilo baraza ndie mkuu wa Mkuu wa Mkoa.
4.Waziri hana mamlaka ya kumsweka mtu ndani. Wanaofanya hivyo hawajui mipaka ya kazi yake.
5. Unataka kuniambia kuwa na diplomatic passport ndio kigezo cha umuhimu wake? Kwa hiyo maafisa wote wa Wizara ya Mambo ya Nje wako juu ya Wakuu wa Mikoa?
6. Waziri hasaini mikataba. Mwenye mamlaka ya kuingia katika mikataba ni accounting officers ambao ni makatibu wakuu na makatibu tawala. Ukiona ana saini, anasaini kama shahidi.
7. Waziri anavaa kofia ya ubunge kwa sababu tu Katiba yetu inamtaka Rais ateuwe mawaziri kutokana na wabunge.

Naomba nitoe ufafanuzi kuwa nilichosema mimi ni kuwa cheo cha Naibu Waziri ( ambaye sio cabinet member) ni chini cha Mkuu wa Mkoa. Vyeo vya uwaziri na ukuu wa mkoa ndio viko sawa. Na hii ilitokana na sera ya Madaraka Mikoani.

Amandla...
 
Naona wa jumapili roho safiiiii,
Ngoja sasa wateuliwe wenzao malalamiko kama yote,
Haya endeleeni tu kufrahia
 
Walimfanyia ukatiri mkubwa sana ambao hatasahau na atalipiza au alifurahi 01732202
Ukishakua kwenye hizo nafasi unafanya kazi popote. Hata diwani alienda upolisi. Na hata Leo diwani akitolewa anaweza kwenda kuwa balozi. Mjifunze hizo nafasi sio za kugombaniwa unaweza kupelekwa popote pale
 
Back
Top Bottom