Rais Samia afanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa

Hivi hizi tengua teua zina positive impact kweli?
 
Naomba kujuzwa kutoka kuwa naibu Katibu Mkuu wa Wizara na kwenda kuwa Katibu tawala wa mkoa hapa ni kupanda au kushuka?
Ukiwa katibu wa wizara unakuwa mtendaji wa wizara nchi nzima na ukiwa RAS unakuwa ni hapo hapo mkoani kwako, yaani kwa ubobezi wote huo kwenda kuhangaika na ratiba za kuwapokea wakubwa ukiwa kama mwenyeji wa mkoa kwa kweli ni kushuka cheo na pia ni matumizi mabaya ya taaluma.
 
Hivi hizi tengua teua zina positive impact kweli?
Hata manufaa yake siyaoni sana sana ni kupoteza pesa zetu sababu sioni ya hizi hamisha,teua ,ondoa ,ongeza,punguza na hakuna matokeo chanya yoyote.
 
Ukiwa katibu wa wizara unakuwa mtendaji wa wizara nchi nzima na ukiwa RAS unakuwa ni hapo hapo mkoani kwako, yaani kwa ubobezi wote huo kwenda kuhangaika na ratiba za kuwapokea wakubwa ukiwa kama mwenyeji wa mkoa kwa kweli ni kushuka cheo na pia ni matumizi mabaya ya taaluma.
Matumizi mabaya ya taaluma, nashukuru kwa kufahamu hili
 
Back
Top Bottom