Rais Samia afanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa

Bi Mkubwa amechafukwa.....
Wamemchokoza nini sijui...
 
Haisadii chochote! Wala hakuna tija yoyote ile itakayotokea kutokana na hizi teuzi.

Watanzania tulio wengi tunataka Katiba Mpya itakayo punguza haya mamlaka ya kuteua na kutengua kila siku! Lakini pia kuondoa vyeo vya kikoloni, na visivyo na tija yoyote ile katika dunia ya leo! Zaidi tu vinatumika kulipana fadhila na kupeana ulaji.
 
Naomba kujuzwa kutoka kuwa naibu Katibu Mkuu wa Wizara na kwenda kuwa Katibu tawala wa mkoa hapa ni kupanda au kushuka?
Kiuteuz unaweza Sema ameshuka lkn kimajukumu amepanda, coz Kwa Sasa anamamlka kamili kimkoa
 
Daadek!
Leo bi mkubwa kachefukwa! Wakuu wa wilaya, leo salini rozali, upanga urudishwe kwenye ala kabla haujawafikia! [emoji41]
Wakimaliza apisha Wakuu wa Mikoa, wa Wilaya wanafuata ili wakaapishwe na Wakuu Wapya
 
Kuna mmoja alitoka kwenye unaibu boss wa taasisi ya wavaa suti zisizo na makoti mpaka ukatibu tawala wa limkoa likubwa lisilo na maendeleo.
Tabora hiyo na huyo mtu jina la kati ni Robert [emoji1][emoji1] code imefunguka
 
Sasa ni dhahiri wakuu wa wilaya wajiandae.
 
mbona siwaoni watu wa dini hapa wakikosoa!!
 
hawa wasomi wetu ie maprof na ma Dr. naona warudi tu vyuoni watufundishie watoto wetu na wadogo zetu kuliko hvi vyeo vya maafisa tawala etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…