Rais Samia afanya ziara ya kushtukiza Kariakoo, Mbagala na Mwananyamala Jijini Dar

Vipi huyo mama Dodoma kahama? Maana siki hizi namsikia Dsm, Zenji
 
Mjerumani alitumia miaka 9 (1905-1914) kujenga reli ya kati (Dsm -Kigoma) wala siyo miaka mitano.
Assuming you are right. Alitumia miaka Tisa km 1400 which means kila mwaka alijenga zaidi ya kilomita Mia KWA TECNOLOJIA YA WAKATI HUO. NOW LOOK Hawa waturuki wametumia miaka mingapi kujenga km 190 na haijakamilika kwa tecnolojia ya 2021. HUONI KUNA SHIDA HAPO?
AMA NIONGEE KISUKUMA CHA TABORA NDAANI NDANI HUKO???
 
Eti ziara ya kushtukiza 😂😂😂😂😂😂 na wanyonge wanapiga makofi kibao!!! Bado tuna safari ndefu sana Mkuu.
Wewe uliona wapi Rais anatoa zawadi kwa wananchi katika mambo ambayo ni jukumu lake kuyafanya!Rais anapaswa kutumia kodi zinazotolewa na wananchi katika kuwapa huduma na haki.

Huyu yeye yuko busy kutoa zawadi katika mambo ambayo ni jukumu la Serikali kuyafanya.Yaani serikali inafanya uzembe katika kutoa huduma kisha inarudi na changa la macho la kutoa zawadi.Samia anakuja kuwa Rais wa ovyo zaidi kuwahi kuongoza Tanzania.
 
Mashuka 200 si haba 😂😂😂😂😂😂 hospital husika ina vitanda vingapi? Yaani Mkuu mambo ya kustaajabisha sana eti anatoa zawadi!!!
 
Upole wake unakwenda sambamba na ukali wa Dr Mpango na wasaidizi wengine.

Huwezi kuwa na Rais moto na msaidizi moto lazima mmoja awe na sifa tofauti.
 
Tulicheleweshwa sana huku tunadanganywa na SGR na flyover ambazo hazitakaa ziishe.
SGR Ni Gbadolite Kama chattle.
Akili ya maandazi na mkate - short term (Afadhali kila mmoja wetu apewe mkate, maandazi na vitumua anywee chai yaishe! Kwani sisi tuna mizigo ya kusafirisha SGR?) - SGR Kwani itaishia lini! Mimi hainihusu - Nina umeme wa solar bulb 2! Umeme Wa bwawa la Nyerere wote wa nini!
Ndiyo mawazo yako mkuu!
 
Unajuaji kuhusiana na ufuatiliaji wake wa hapo hapo mwananyamala?.

Hapo kuna maagizo yametolewa juu ya watendaji watatu wabovu. Hatuwezi kuwaongelea kwa sababu tuna tabia ya kukosoa mpaka tunapitiliza.

Huyu sio kama RIP aliyependa kuwa na sura ya kibabe muda wote.
 
Wewe utakua MPUSH ambaye anaona SGR, BOMBARDIER na flyover ukijumlisha mataa ya barabarani ndio maendeleo. I am sorry for you.
Tafuta hela ili uone umuhimu wa kupanda ndege au kupita kwenye flyover n gari yako, wacha mboyoyo mingi😅.Hakuna umaskini mbaya hapa duniani kama umaskini wa akili.Tafuta maarifa ndio ujue umuhimu wa hiyo miundombinu😎
 
Haujajibu nilichouliza!Unaelewa kuwa Rais ana jukumu la kutumia kodi za wananchi katika kuwapatia huduma na wala siyo zawadi?Yaani sisi wananchi tuchange hela zetu tukupe ili utuletee huduma halafu wewe udai kuwa unatupa zawadi kwa kutumia hela tulizochanga?!Samia ni Rais ambae ni hopeless kuwahi kutokea Tanzania!
 
Reactions: BAK
Babu yako ndio alilaani?
Unaelewa kuwa Rais ana jukumu la kutumia kodi za wananchi katika kuwapatia wananchi huduma pamoja na haki na wala siyo zawadi?Yaani sisi wananchi tuchange hela zetu kupitia kodi kisha tukupe wewe Rais ili utuletee huduma pamoja na maendeleo halafu wewe udai kuwa unatupa zawadi kwa kutumia hela tulizochanga?!Halafu wananchi mpo tu kama mazuzu mnaona ni sawa!Kama hiyo siyo laana ni nini?Samia ni Rais ambae ni hopeless kuwahi kutokea Tanzania!
 
Amefanya jambo jema kuja kuona maisha yalivyo,nafikiri itamsaidia kujua pia corona haipo.
kwa umati huo ingekuwepo tungekuwa tunasema mengine.
Nafikiri sasa ataamua kwa busara zaidi badala ya kuitegemea riporti iliyo andaliwa kupitia google.
 
HUNA AKILI KICHWANI. MATAKO YA BIBI YAKO.
 
Mkuu kunywa maji kidogo, rudi kwenu bush tu zama zenu za wanyonge zimeshapita maana mlijisahau sana..yaan mtu anakodi frame na mikodi kibao afu nyie mnapanga tu bidhaa mbele yake
 
Tafuta hela ili uone umuhimu wa kupanda ndege au kupita kwenye flyover n gari yako, wacha mboyoyo mingi😅.Hakuna umaskini mbaya hapa duniani kama umaskini wa akili.Tafuta maarifa ndio ujue umuhimu wa hiyo miundombinu😎
You are a disgrace to the sukuma community.
 
Hayati JPM alikuwa anatembea na mfuko wa pesa anawapa kina Peter Tino na nyingine anatoa mchango wa ujenzi wa vyoo vya sekondari mikoani, zile zilikuwa pesa zake binafsi au kodi zetu?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…