Rais Samia aingilie kati tatizo la wazee kuwaoa mabinti wadogo; aagize sheria ya ndoa kurekebishwa

Rais Samia aingilie kati tatizo la wazee kuwaoa mabinti wadogo; aagize sheria ya ndoa kurekebishwa

Kwa nini unamtumia mashtaka Rais Samia wakati kuna mfumo wa sheria unaoanzia polisi?

Sheria gani hiyo inayosema mashtaka ya jinai yaanze kwa rais?
Mimi nimetuma maombi ya marekebisho ya sheria ya ndoa.

Hayo ya mashitaka ni yako.
 
Mimi nimetuma maombi ya marekebisho ya sheria ya ndoa. Hayo ya mashitaka ni yako.
Sheria ya ndoa ya sasa hivi ina mapungufu gani?

Kwa nini mnapenda kumpelekea kila kitu rais wakati kazi ya kutunga sheria ni ya wabunge?

Sheria ishaweka age of consent miaka 18.

Unataka kuipandisha?
 
Pumba tupu..kama binti ana miaka18 shida nini.?!..umelipima shimo lake?!..unaweza kukuta mzee mwenyewe anapiga mbizi.

Ndoa yeyote ile ni jambo la heshima na umri is not an issue
 
Mwacheni rais afanye kazi.

Hakuna sheria inamzuia binti kuolewa na mzee provided ana umri wa miaka 18+.

Hata kama hana miaka 18, hilo siyo lazima rais afanye yeye personally.

Kuna maafisa wengi sana chini yake mpaka ngazi ya kitongoji.

Hao watafanya kazi hiyo maana wanalipwa.

Rais ana kazi kubwa za Kitaifa na siyo kuja kifukuzana na Mzee Lyatonga wa Kiraracha.
 
Pumba tupu..kama binti ana miaka18 shida nini.?!..umelipima shimo lake?!..unaweza kukuta mzee mwenyewe anapiga mbizi.Ndoa yeyote ile ni jambo la heshima na umri is not an issue
Wewe mbona hukuoa lijimama na wala huwezi hata kusex nalo? Acha kuwapotosha mabinti wa wenzako mkuu.
 
Bila shaka wewe ni mmoja wa ile mizee yenye uchu wa ngono mnaotaka kutuharibia mabinti zetu. Mwaka huu lazima sheria iwapige pin muwe mnawaoa wazee wenzenu. Acheni kuchezea maisha ya mabinti za watu.
Tafuta hela wewe! Utakufa kwa ndoto za Alinacha!

Jaribu kuwa positive thinker na siyo unajitwisha mizigo ambayo inakufanya unazidi kurudi nyuma kimaisha.

Mwanamke bila wewe kuwa na uwezo kiuchumi atakudharau na kwenda kushughulikiwa na wazee wenye fedha tu.
 
Nimekuambia baadhi yao huwa under 18 na wengine hushawishiwa na wazazi kwa sababu ya ufukara mkuu
Una uhakika na ulisemalo? Kulala na binti under 18 ni kubaka kwa sheria ya kujamiiana. Huhitaji Rais hapo. Wewe ni taahira tu
 
Una uhakika na ulisemalo? Kulala na binti under 18 ni kubaka kwa sheria ya kujamiiana. Huhitaji Rais hapo. Wewe ni taahira tu
Sasa wewe unataka nani aingilie kati mkuu? Basi wewe lichukue ulifanyie kazi.
 
Tafuta hela wewe! Utakufa kwa ndoto za Alinacha! Jaribu kuwa positive thinker na siyo unajitwisha mizigo ambayo inakufanya unazidi kurudi nyuma kimaisha. Mwanamke bila wewe kuwa na uwezo kiuchumi atakudharau na kwenda kushughulikiwa na wazee wenye fedha tu.
Utakuja kufia kifuani kwa tamaa zako za ngono; achana na mabinti wadogo watakutegua kiuno mkuu
 
Back
Top Bottom