Rais Samia aingilie kati tatizo la wazee kuwaoa mabinti wadogo; aagize sheria ya ndoa kurekebishwa

Kwani wanatokaje mkuu? Si wengi wao tuanawaona wakiachika wanabeba mabakuri, masahani na makochi? Hiz nazo ni mali?
Unaelewa maana ya two consenting adult
hao mabinti hawashikiwi shoka wala panga!?
 
Mama Samia hatoweza fanya lolote kwa sababu tatizo hili linaendekezwa sana na waze wa Kiislam. Mtu ana mshipa eti anakwenda kuoa katoto ili kawe kanachezea mshipa wake usiku.
 
Siku wakitaka kuoa watamuoa nani wakati wazee watakuwa wameishaoa wote? Acha roho mbaya mkuu.
๐๐š๐จ๐ง๐š ๐ฐ๐š๐ญ๐ฎ ๐ฐ๐ž๐ง๐ ๐ข ๐ฐ๐ž๐ฆ๐ž๐ค๐ฎ๐ฌ๐ก๐š๐ฆ๐›๐ฎ๐ฅ๐ข๐š ๐ค๐ฐ๐š ๐ค๏ฟฝ๐ฎ๐ฐ๐š ๐ฎ๐ฆ๐ž๐ข๐ญ๐š๐ฃ๐š ๐๐ก๐š๐ฆ๐›๐ข ๐ฒ๐š ๐ฌ๐จ๐๐จ๐ฆ๐š ๐š๐ฆ๐›๐š๐ฒ๐จ ๐ค๐ข๐ฅ๐š ๐ฆ๐ญ๐ฎ ๐š๐ง๐š๐ข๐š๐›๐ฎ๐๐ฎ, ๐Œ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ ๐š๐ญ๐ฎ๐ฌ๐š๐ฆ๐ž๐ก๐ž ๐ญ๐ฎ ๐ฆ๐š๐š๐ง๐š ๐ฌ๐ข ๐ฌ๐š๐ฐ๐š ๐ฆ๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐ค๐ฎ๐ฎ๐จ๐ง๐š ๐ฎ๐œ๐ก๐ข ๐ฐ๐š ๐›๐š๐›๐š ๐ฒ๐š๐ค๐ž ๐ง๐š ๐ญ๐ž๐ง๐š ๐ง๐ข ๐ฅ๐š๐š๐ง๐š ๐ฌ๐ž๐ฆ๐š ๐ก๐š๐ฐ๐š๐ฃ๐ฎ๐ข ๐ญ๐ฎ,
 
Binafsi naona ni vyema Wazee kuoa mabinti wadogo. Hawa mabinti ndo wanajua kuwatunza Wazee. Wanafahamu ni muda gani mzee anywe chai, chakula cha mchana na cha jioni. Wanafahamu fika kumfulia mzee nguo zake na hata kumchagulia nguo ya kuvaa siku husika. Wanasimamia usafi wa Wazee hasa pale nyumbani na mengine mengi.
 
Mkuu nimesema kwamba wengi wa vigoli hawa hurubuniwa na wazee pamoja na wazazi wao kwa sababu ya ufukara; wengi hawaolewi kwa kupenda bali kwa mashinikizo y wazaz/walezi wao. You get me right?
Hakuna kushinikizwa ikiwa wamefikia umri wa kuolewa, ina maana wanatambua wanachokifanya.........
 
Mkuu hapa hatuongelei imani ya mtu bali tunaongelea sheria ya ndoa ya Tanzania ya mwaka 1971. Tunaomba irekebishwe ili kuwazuia wazee wasiwaoe mabinti wanaolingana na watoto/wajukuu zao. Umenipata?
Mkuu, utawanyima watu haki zao wakati hawavunji sheria yoyote (kama binti ni above 18)
 
Raisi akimaliza hilo aingilie kati pia suala la single mother kuolewa na kijana ambae hajawahi kuwa na mtoto, sio haki kabisa kabla hata mechi kuanza ubao wa matokeo kusoma 1 - 0 huo ni uonevu na pia ni unyanyasaji mkubwa wa kijinsia.
 
Unaelewa maana ya two consenting adult
hao mabinti hawashikiwi shoka wala panga!?
Unafahamu maana ya kuheshimu kila kauli itokayo kwa mzazi? Na ikiwa utamkaidi mzazi anaweza kukufuramia au kukulaani.
 
kuna mzee mmoja alinambia

"Umeona wapi gari bovu likasukumwa na gari bovu lenzake"

ukiutafakari vizuri huo msemo utajua kwanini wanafanya hivo
 
Hivi unajua muasisi wa Imani yake alioa binti wa umri gani?!!!

Huu uzi ulianzisha jana jioni, hadi muda huu Una views zaidi ya 1,200 na posts zaidi ya 90, lkn bado hakuna like hata moja!
Maana'ake wadau hawaafikiani na maoni yako!
Huu uzi ni mujarabu kwa kuwa hakuna dislike hata moja kuonyesha kuwa watu hawajanielewa.
 
kuna mzee mmoja alinambia

"Umeona wapi gari bovu likasukumwa na gari bovu lenzake"

ukiutafakari vizuri huo msemo utajua kwanini wanafanya hivo
Mkuu huwezi kutumia misemo ya mtaani kuhalalisha uhalifu/uovu.
 
Watu wengi hawajui laana iliyojificha kwenye kuona uchi wa mzazi wako. Na hii laana ndiyo inatutafuna watanzania hadi leo. Sijui tunakwama wapi. ๐Ÿ˜ณ ๐Ÿ˜ณ ๐Ÿ˜ณ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ