ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wafanyabiashara wakubwa wa Tzn walikimbilia Zambia mojawapo ni Usangu Logistics ambae ni Mtanzania ila alihamisha base kutoka Mbeya na Dar kwenda Zambia Kwa sababu ya upumbavu wa MwendazakeWazambia waamesema njooni muwekeze bure, mnachotaka, wewe unasema eka 20 walizotengewa kwa faida yetu?
Hivi unaelewa mwendazake alivyowakorofisha wafanyabiashara wengi sana wakakimbilia kuanzisha mabiashara Zambia? Hususan wale ma transporter wakubwa. Wamepewa ma eka na ma eka bure wafanye yadi za magari yao.
Ndio maana Huwa namlaumu Nyerere aliharibu sana watu wa bara na kuwa majinga hususani Wakristo akili za biashara hazipo.Shida sio hekari. Shida ni kitu kingine hujakijua.
Zambia akipewa eneo kwanza itachagiza biashara sababu zambia anatumia 34% kama tulivvoelezwa. Hivi mdau mkubwa kama huyu hekta 20 awe anahifdhia mizogo yake nayo ni shida? Subir uwe laisi wewe bas uje utengue.
Tangu lini Machadema yakawa na akili? Kila siku Huwa nauliza swali hili,Umewahi ona Chadema inazungunzia Mpango wa kuondoa umaskini Tanzania?Ujinga sana kujadili ardhi ya ekari 20 Kwala ambayo thamani yake hata milioni mia haifiki Kwa biashara inayoingiza mabilioni ya shilingi na ajira Kwa Watanzania. Kumbuka Msumbiji na AFRIKA kusini nao wanahitaji Hilo soko .Tena mjadala unaingiza Uzanzibar
Zanzibar ni nchi yenye heka 6,000 (elfu sita) pale Bagamoyo Tanzania kwa mujibu wa Charles HillaryZanzibar ni nchi ujue
Mkuu Mbeya eneo la Ituta walipewa Wamalawi na Nyerere kwa ajili ya mizigo yao panaitwa Malawi Cargo tatizo la baadhi ya watu humu ukiwafatilia vizuri michango yao ya kila siku wala awatakupa shida utawagundua tu kama si chuki binafsi basi ni Pinga Pinga fcNimegundua humu ndani wajinga wamejazana kazi yao ni kulaumu kila kitu kwa sababu tu uelewa finyu,sijui mtu akisikia taarifa kama hii mawazo yake anayapeleka wapi kwa sababu mambo hayo hayakuanza leo lakini watu wasifikiri eneo kama Zambia wanaweza kuliuza au kuliweka dhamana.
Toka enzi ya Nyerere Malawi walipewa eneo pale kurasini kwa kazi kama hiyo japo sina uhakika kama bado wanalitumia au la lakini nchi kadhaa wakati wakupigania uhuru wao watu wao walikuja na wakapewa ardhi katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu ili kufanyia shughuli zao lakini hatukuwahi kumlaumu Nyerere kwanini amegawa ardhi yetu tofauti na sasa ambapo vijana wengi wanajifanya wajuwaji kumbe hawajui chochote.
Kwa hiyo kwa kuwa Mzee Mchopa aligawa ardhi yetu kwa wageni, na Bi Mkubwa naye agawe siyo!Nimegundua humu ndani wajinga wamejazana kazi yao ni kulaumu kila kitu kwa sababu tu uelewa finyu,sijui mtu akisikia taarifa kama hii mawazo yake anayapeleka wapi kwa sababu mambo hayo hayakuanza leo lakini watu wasifikiri eneo kama Zambia wanaweza kuliuza au kuliweka dhamana.
Toka enzi ya Nyerere Malawi walipewa eneo pale kurasini kwa kazi kama hiyo japo sina uhakika kama bado wanalitumia au la lakini nchi kadhaa wakati wakupigania uhuru wao watu wao walikuja na wakapewa ardhi katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu ili kufanyia shughuli zao lakini hatukuwahi kumlaumu Nyerere kwanini amegawa ardhi yetu tofauti na sasa ambapo vijana wengi wanajifanya wajuwaji kumbe hawajui chochote.
Kosa lipo wapi kwani umeambiwa hilo eneo litakuwa ni sehemu ya nchi ya Zambia! Hilo eneo wamepewa kwa shughuli za kibiashara na ni kwa maslahi ya nchi yetu.Kwa hiyo kwa kuwa Mzee Mchopa aligawa ardhi yetu kwa wageni, na Bi Mkubwa naye agawe siyo!
Kosa ni kosa haijalishi kafanya nani
Hasa chuki,Jinsia yake,Uzanzibar wake na Dini yake ndiyo tatizo lao sema wanajizunguusha tu.Mkuu Mbeya eneo la Ituta walipewa Wamalawi na Nyerere kwa ajili ya mizigo yao panaitwa Malawi Cargo tatizo la baadhi ya watu humu ukiwafatilia vizuri michango yao ya kila siku wala awatakupa shida utawagundua tu kama si chuki binafsi basi ni Pinga Pinga fc
Naomba hati mkuu hahahaaa....Kachukuwe 100 morogoro pasinashaka!
Kwanza Samia anajua kutafuta pesaRais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imetenga eneo la hekari 20 za ardhi katika Bandari kavu eneo la Kwala Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kuhudumia mizigo kutoka Zambia ambapo amesema hiyo ndio zawadi ya Tanzania kwa Zambia katika wakati huu wa sherehe za Uhuru wa Zambia.
Rais Samia amesema hayo kwenye hotuba yake akiwa ni Mgeni rasmi wa Maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Zambia iliyofanyika Ikulu ya Lusaka, Zambia.
“Kwa nia ya kuwaweka Watu wa Zambia kama kipaumbele katika mipango yetu na kutokana na azma yetu ya kurahisisha biashara kati ya Nchi hizi mbili, Serikali yangu imefanya maamuzi ya kutenga eneo la hekta 20 katika Bandari kavu ya Kwala katika ukanda wa pwani ya Tanzania kwaajili ya shehena maalum kwaajili ya Zambia”
“Zambia itakuwa na uwezo wa kuhifadhi bidhaa kwa muda mrefu na pia hatua hii itaondoa msongamano, ucheleweshaji na kupunguza gharama za kufanya biashara nchini Zambia ikipelekea kukuza biashara kati ya Nchi zetu mbili na kutengeneza fursa za kibiashara kwa Wananchi kutokea Zambia na Tanzania na hii ni zawadi yetu kutoka Tanzania katika wakati huu wa sherehe za uhuru wa Taifa lenu”
Zambia ni Mteja mkubwa wa Bandari ya Dar es Salaam, ikichukua asilimia 34 ya mizigo yote inayopitia Bandari hiyo kwenda nje ya Tanzania.
Millard Ayo
----
Maoni yangu
Hadi tukifika mwaka 2030 Tanganyika itabidi kuomba uhuru upya ili tujikomboe kwa sababu nchi nzima itakuwa mikononi mwa wachache.
Je, kwanini hakutoa bure eneo la zanzibar!
Rubbish. Heka 30 kati ya heka milioni 30? You must be mad.Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imetenga eneo la hekari 20 za ardhi katika Bandari kavu eneo la Kwala Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kuhudumia mizigo kutoka Zambia ambapo amesema hiyo ndio zawadi ya Tanzania kwa Zambia katika wakati huu wa sherehe za Uhuru wa Zambia.
Rais Samia amesema hayo kwenye hotuba yake akiwa ni Mgeni rasmi wa Maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Zambia iliyofanyika Ikulu ya Lusaka, Zambia.
“Kwa nia ya kuwaweka Watu wa Zambia kama kipaumbele katika mipango yetu na kutokana na azma yetu ya kurahisisha biashara kati ya Nchi hizi mbili, Serikali yangu imefanya maamuzi ya kutenga eneo la hekta 20 katika Bandari kavu ya Kwala katika ukanda wa pwani ya Tanzania kwaajili ya shehena maalum kwaajili ya Zambia”
“Zambia itakuwa na uwezo wa kuhifadhi bidhaa kwa muda mrefu na pia hatua hii itaondoa msongamano, ucheleweshaji na kupunguza gharama za kufanya biashara nchini Zambia ikipelekea kukuza biashara kati ya Nchi zetu mbili na kutengeneza fursa za kibiashara kwa Wananchi kutokea Zambia na Tanzania na hii ni zawadi yetu kutoka Tanzania katika wakati huu wa sherehe za uhuru wa Taifa lenu”
Zambia ni Mteja mkubwa wa Bandari ya Dar es Salaam, ikichukua asilimia 34 ya mizigo yote inayopitia Bandari hiyo kwenda nje ya Tanzania.
Millard Ayo
----
Maoni yangu
Hadi tukifika mwaka 2030 Tanganyika itabidi kuomba uhuru upya ili tujikomboe kwa sababu nchi nzima itakuwa mikononi mwa wachache.
Je, kwanini hakutoa bure eneo la zanzibar!
Sijaelewa ulichokiandia!!Rubbish. Heka 30 kati ya heka milioni 30? You must be mad.
Samia knows how to make moneyKazi ya bibi ni kugawa urithi kwa ndg na jamaa bila kuwasahau marafiki!!
Utawala wa awamu ya nne ulikuwa utawala mbovu, huu wasasa ni mbovu mara milioni!