Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Kama Mwarabu wa DP WOLRD kapewa bandari kwanini hao weusi wenzetu wasipewe..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imetenga eneo la hekari 20 za ardhi katika Bandari kavu eneo la Kwala Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kuhudumia mizigo kutoka Zambia ambapo amesema hiyo ndio zawadi ya Tanzania kwa Zambia katika wakati huu wa sherehe za Uhuru wa Zambia.
Rais Samia amesema hayo kwenye hotuba yake akiwa ni Mgeni rasmi wa Maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Zambia iliyofanyika Ikulu ya Lusaka, Zambia.
“Kwa nia ya kuwaweka Watu wa Zambia kama kipaumbele katika mipango yetu na kutokana na azma yetu ya kurahisisha biashara kati ya Nchi hizi mbili, Serikali yangu imefanya maamuzi ya kutenga eneo la hekta 20 katika Bandari kavu ya Kwala katika ukanda wa pwani ya Tanzania kwaajili ya shehena maalum kwaajili ya Zambia”
“Zambia itakuwa na uwezo wa kuhifadhi bidhaa kwa muda mrefu na pia hatua hii itaondoa msongamano, ucheleweshaji na kupunguza gharama za kufanya biashara nchini Zambia ikipelekea kukuza biashara kati ya Nchi zetu mbili na kutengeneza fursa za kibiashara kwa Wananchi kutokea Zambia na Tanzania na hii ni zawadi yetu kutoka Tanzania katika wakati huu wa sherehe za uhuru wa Taifa lenu”
Zambia ni Mteja mkubwa wa Bandari ya Dar es Salaam, ikichukua asilimia 34 ya mizigo yote inayopitia Bandari hiyo kwenda nje ya Tanzania.
Millard Ayo
----
Maoni yangu
Hadi tukifika mwaka 2030 Tanganyika itabidi kuomba uhuru upya ili tujikomboe kwa sababu nchi nzima itakuwa mikononi mwa wachache.
Je, kwanini hakutoa bure eneo la zanzibar!
Ana binti mzuri nami ninamuhitaji bure bila mahari!Kama Mwarabu wa DP WOLRD kapewa bandari kwanini hao weusi wenzetu wasipewe..?
Tumia Akili Ata Kiasi Cha Kisude cha Soda Kufikiri.Sijui ametumia akilii gani. Atagawaje ardhi yetu kwa nchi yenye ardhi utadhani mali yake binafsi. Rais hana ardhi bali ni msimamizi tu. Kumbe ndiyo maana anagawa bandari zetu! Kama Zambia wanafanya biashara walipaswa kununua siyo kuzawadiwa. Inakuwaje wageni wamilki ardhi wakati wana diaspora hawaruhusiwi?
Wewe ni mgeni na jf? Hili ni jukwaa la Wapinzani Sasa hivi wamepata wafuasi wao ambao ni Sukuma gang wote ni hater wa SamiaNimegundua humu ndani wajinga wamejazana kazi yao ni kulaumu kila kitu kwa sababu tu uelewa finyu,sijui mtu akisikia taarifa kama hii mawazo yake anayapeleka wapi kwa sababu mambo hayo hayakuanza leo lakini watu wasifikiri eneo kama Zambia wanaweza kuliuza au kuliweka dhamana.
Toka enzi ya Nyerere Malawi walipewa eneo pale kurasini kwa kazi kama hiyo japo sina uhakika kama bado wanalitumia au la lakini nchi kadhaa wakati wakupigania uhuru wao watu wao walikuja na wakapewa ardhi katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu ili kufanyia shughuli zao lakini hatukuwahi kumlaumu Nyerere kwanini amegawa ardhi yetu tofauti na sasa ambapo vijana wengi wanajifanya wajuwaji kumbe hawajui chochote.
Mwambie sio Zambia tuu waliopewa bali hata DRC Congo na hawajapewa Tzn tuu hata Kenya wamepewa Kwa Ajili ya ushindani wa kibiasharaTumia Akili Ata Kiasi Cha Kisude cha Soda Kufikiri.
Unapiizungumzia Zambia Kwanza Tambua Ni Nchi Usiifananishe na Mtu Mmoja mmoja.
Pili Tambua Nchi Nyingi Zinazotumia Bandari Yetu Zinapewa Maaeneo Katika Bandari Zetu Na hata Maeneo Yakiuwekezaji Ili Kuendelea Kuwapa Ushawishi Na Urahisi Wakutumia Bandari Yetu.
Kuna Maeneo Kurasini Yanaitwa MALAWI CARGO.
KUNA ZAM CARGO NA MENGINEYO.
Haya Maeneo zilipewa nchi ya Malawi Na Zambia. Wanashusha nakupakia Mizigo Inayoenda Katika Nchi Zao.
Hili siyo Mara ya kwanza hizo Nchi kupewa maeneo katika nchi yetu.
Ata mbeya ukifika ipo Malawi cargo.
Tuekezee na DP worldTumia Akili Ata Kiasi Cha Kisude cha Soda Kufikiri.
Unapiizungumzia Zambia Kwanza Tambua Ni Nchi Usiifananishe na Mtu Mmoja mmoja.
Pili Tambua Nchi Nyingi Zinazotumia Bandari Yetu Zinapewa Maaeneo Katika Bandari Zetu Na hata Maeneo Yakiuwekezaji Ili Kuendelea Kuwapa Ushawishi Na Urahisi Wakutumia Bandari Yetu.
Kuna Maeneo Kurasini Yanaitwa MALAWI CARGO.
KUNA ZAM CARGO NA MENGINEYO.
Haya Maeneo zilipewa nchi ya Malawi Na Zambia. Wanashusha nakupakia Mizigo Inayoenda Katika Nchi Zao.
Hili siyo Mara ya kwanza hizo Nchi kupewa maeneo katika nchi yetu.
Ata mbeya ukifika ipo Malawi cargo.
Akili hunaKwa hiyo kwa kuwa Mzee Mchopa aligawa ardhi yetu kwa wageni, na Bi Mkubwa naye agawe siyo!
Kosa ni kosa haijalishi kafanya nani
Huna akiliWapeni mkoa wote wa Dar es salaam kwa sababu ni mtumiaji mkubwa wa hiyo bandari!
Mmmm, naona watu mlioenda shule kusomea ujinga mmeanza kujitokeza moja baada ya mwingine!Wewe huwajui hawa watu wanavyopotosha mambo, Zambia wametengewa eka 20 ndani ya bandati kavu kwa mizigo yao, malipo ya huduma watazopatiwa kama kawaida.
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imetenga eneo la hekari 20 za ardhi katika Bandari kavu eneo la Kwala Mkoa wa Pwani
Tabora, German East Africa
Belgian Congo and the Tabora Offensive (1916)
The Tabora Offensive was an Anglo-Belgian offensive into German East Africa, which ended with the Battle of Tabora in the north-west of German East Africa, it was part of the East African Campaign in World War I.
Source: Belgian Congo
Belgo-Congolese troops of the Force Publique after the Battle of Tabora, 19 September
The Belbases: a little-known achievement of Belgian expansion in East Africa Author: Darcis, Leon Year: 2007 Periodically: Bulletin of the sessions = Mededelingen der zittingen Volume: 53 Issue: 2 Pages: 131-146 Language: French Geographic terms: TanzaniaBelgium
_Subjects: ports
colonial historyAbstract: The 'Belbase' (Belgian base) concept originated in 1914-1918, during the extension of the European war to the German overseas possessions. In East Africa, the Germans occupied Tanganyika, Urundi (Burundi) and Ruanda (Rwanda). Their 'liberation' by the allied powers, including Belgium, resulted in the Treaty of Versailles in 1919. The former German territories were initially entrusted unilaterally to Great Britain. Belgium had, however, 'liberated' Ruanda, Urundi and part of Tanganyika as far as Tabora. She claimed her due. The mandates of Ruanda and Urundi were entrusted to him. In addition, it obtained transit facilities for its goods through the ports of Tanganyika. Matadi, on the Atlantic coast, does not was more thus the only maritime port of Congo: with the birth of Belbase, an autonomous maritime frontage on the Indian Ocean was offered to him. This article examines the birth of the Belbase concept; the creation of the Belbase Company; modernization of Belbase facilities; and the consequences of the independence of territories managed by foreign powers. Bibliogr. [Abstract from the journal, adapted : Source : AfricaBib | Les Belbase: une réalisation peu connue de l'expansion belge en Afrique de l'Est
Acha ushamba haya mambo yanafanyika duniani kote kwa shughuli za kibiashara kwa sababu hawapewi hiyo ardhi kwa kujenga nyumba za kuishi ni kwa kuweka mizigo ambayo IPO transit kutoka nje au inayosubiri kusafidishwa na serikali itakuwa inapata kodi sasa lipi baya hapo .Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imetenga eneo la hekari 20 za ardhi katika Bandari kavu eneo la Kwala Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kuhudumia mizigo kutoka Zambia ambapo amesema hiyo ndio zawadi ya Tanzania kwa Zambia katika wakati huu wa sherehe za Uhuru wa Zambia.
Rais Samia amesema hayo kwenye hotuba yake akiwa ni Mgeni rasmi wa Maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Zambia iliyofanyika Ikulu ya Lusaka, Zambia.
“Kwa nia ya kuwaweka Watu wa Zambia kama kipaumbele katika mipango yetu na kutokana na azma yetu ya kurahisisha biashara kati ya Nchi hizi mbili, Serikali yangu imefanya maamuzi ya kutenga eneo la hekta 20 katika Bandari kavu ya Kwala katika ukanda wa pwani ya Tanzania kwaajili ya shehena maalum kwaajili ya Zambia”
“Zambia itakuwa na uwezo wa kuhifadhi bidhaa kwa muda mrefu na pia hatua hii itaondoa msongamano, ucheleweshaji na kupunguza gharama za kufanya biashara nchini Zambia ikipelekea kukuza biashara kati ya Nchi zetu mbili na kutengeneza fursa za kibiashara kwa Wananchi kutokea Zambia na Tanzania na hii ni zawadi yetu kutoka Tanzania katika wakati huu wa sherehe za uhuru wa Taifa lenu”
Zambia ni Mteja mkubwa wa Bandari ya Dar es Salaam, ikichukua asilimia 34 ya mizigo yote inayopitia Bandari hiyo kwenda nje ya Tanzania.
Millard Ayo
----
Maoni yangu
Hadi tukifika mwaka 2030 Tanganyika itabidi kuomba uhuru upya ili tujikomboe kwa sababu nchi nzima itakuwa mikononi mwa wachache.
Je, kwanini hakutoa bure eneo la zanzibar!
Kabisa, nashangaa wengine wanapinga, ni kupinga tu ilmradi au ni uelewa mdogo(punguani)?Unapokuwa na wateja ambao wapo guaranteed, inakurahisishia kupanga mipango yako kwa uhakika zaidi.
hiyo ni inferiority complex yako tu, nani amedharau maoni humu? Bila ya shaka hakuna mtu anaweza kuyafanyia kazi maoni yooooote yanayotolewa na wadau (mengine ni pinzani).Tatizo mnadharau maoni mengine mnaona ya kwenu kwenu ndio sahihi. Acheni watu waongee.
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imetenga eneo la hekari 20 za ardhi katika Bandari kavu eneo la Kwala Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kuhudumia mizigo kutoka Zambia ambapo amesema hiyo ndio zawadi ya Tanzania kwa Zambia katika wakati huu wa sherehe za Uhuru wa Zambia.
Ndiyo mnavyojidanganya eeh? sisi tunasema Zanzibar siyo nchi na wala haitokua nchi, mlikubali wenyewe kuingia kwenye muungano au mlilazimishwa?Mbona Zanzibar wana eneo huku Tanganyika na hamlalamiki kwani Zanzibar siyo nchi ya jirani.
Mnatia aibu kwa hizi comment zenu hivi mnaelewa kwamba hiyo ni kwa faida ya Tanzania.Kama Mwarabu wa DP WOLRD kapewa bandari kwanini hao weusi wenzetu wasipewe..?