Rais Samia aipongeza Yanga kwa ushindi mkubwa

Rais wa JMT Dr Samia Suluhu Hassan ametuma Salamu za Pongezi kwa timu ya Yanga baada ya kuifunga Simba SC 5-1

Rais Samia amesema Mpira ni burudani na vilabu vya Simba na Yanga vinatuburudisha

Mlale Unono [emoji3]
ALisha jua kwenye Yanga na Simba ndiko kumejaa wajinga wa nchi hii na kuwalubuni ni dakika 0 tu
 
Simba ni mbovu tuache ubishi
Hii timu imejaza wachezaji wengi wazee wasio na uwezo wa kupambana ndani ya dakika zote 90 za mchezo, hasa pale wanapokutana na timu zenye wachezaji wengi vijana na wanyumbulifu kama Azam,Yanga, nk.
 
Hahahaha uko sahihi kwa mara ya kwanza, simba ni wajinga sana. Unaruhusu mabao 5 kudadeki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…