Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu watanzania,
Rais Samia Ameendelea Kuiteka mijadala ya kisiasa Mitaani, kila mahali Ni Rais Samia. Ni Rais Samia juu ya uchapa kazi wake ulio tukuka. Ni Rais Samia juu ya kuimarisha demokrasia. Ni Rais Samia juu ya kuendesha na kuongoza maridhiano. Ni Rais Samia juu ya kulituliza Taifa letu,Ni Rais samia juu ya kukuza uchumi wetu. Ni Rais samia juu ya kuimarisha mifumo ya haki na utawala Bora. Ni Rais Samia juu ya kuhubiri na kutenda haki. Ni Rais Samia juu ya Uzalendo wake kwa Taifa letu. Ni Rais Samia juu ya mapinduzi ya kilimo. Ni Rais Samia juu ya kuliheshimisha Taifa letu. Ni Rais Samia juu ya usikivu wake. Ni Rais Samia juu ya Ukarimu na Upendo wake. Ni Rais Samia juu ya mazingira Bora ya kibiashara na kiuwekezaji.
Ni Rais Samia juu ya ushupavu na umadhubuti wake. Ni Rais Samia juu ya ujasiri na misimamo yake. Ni Rais Samia juu ya Dira na muelekeo wake ulio Bora kwa Taifa letu. Ni Rais Samia juu ya miradi mikubwa ya kimkakati Ni Rais Samia juu ya utolewaji wa huduma Bora za kiafya na kielimu. Ni Rais Samia juu ya uchumi jumuishi na kugusa kila mtu. Ni Rais Samia juu Ya Tanzania iliyo Bora na yenye kutoa matumaini yaliyo hai.
Rais Samia Mama yetu mpendwa ameamsha mioyo ya Uzalendo kwa Taifa letu. Rais Samia anajadiliwa na kupongezwa kwa kulileta Taifa pamoja na kuliweka katika vifua vya watanzania wazalendo. Rais Samia anatetewa na kupiganiwa na watanzania wengi, kila eneo ana wasemaje wa kumsemea mambo aliyo yafanya na kuyatekeleza kwa hiyari kabisa bila malipo.
Watanzania wanaonesha kuridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais wetu mpendwa mama Samia,wanaonesha kukubaliana na hatua mbalimbali anazozifanya katika kuimarisha na kuupa Afya uchumi wetu, wana mpongeza kwa namna alivyoongeza makusanyo ya mapato mpaka kufikia Trioni mbili kwa Mwezi pasipo mavurumai na uhasama na wafanyabiashara.
Kila mmoja Anayo amani katika biashara yake na shughuli yake ya kiuchumi, kila mmoja ana matumaini na kesho yake iliyo Bora, hakuna Mwenye wasiwasi juu ya biashara yake kuvamiwa au kufirisiwa kiuonevu. Hakuna kutunishiana misuli. Ni majadiliano na kuelimishana, Hakuna kuviziana Wala visasi, hakuna kukomoana Wala kunyanyasana. Rais Samia Ni kiongozi aliyeinuliwa na kupewa baraka zote kwa ajili ya kulivusha Taifa letu kuelekea Kanaan nchi ya Ahadi yenye maziwa na Asali.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627