greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,328
- 3,955
Endelea kumdanganya mwenzio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi kubwa na za kipekee alizozifanya Rais wetu na ambazo zimeendelea kuonekana machoni pa watanzania zinajitangaza zenyewe na kuonekana kwa yeyote asiye jipa ukipofuEndelea kumdanganya mwenzio.View attachment 2475649
Nitakupigia nikupe mchongo uachane na kujitwisha zigo la madodoki.Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627
Mimi Ni mkulima ninayetumia Neema ya ya Taifa letu kubarikiwa kuwa na ardhi kubwa yenye rutuba na inayostawisha mazao ya aina mbalimbaliNitakupigia nikupe mchongo uachane na kujitwisha zigo la madodoki.
BiTOZO atakufanya uonekane kituko as if hauna baba wala mama.
WanaJF hawajakuelewa kwa kuwa bandiko lako kuu ni KITENDAWILIHuku kwetu mbolea ya Ruzuku IPO na inaendelea kupatikana kwa Bei elekezi na wakulima kila mmoja anakwenda kununua kwa wakati wake,na wale waliotaka kuleta janja janja wamekumbana na mkono wa serikali shupavu na madhubuti ya Rais samia
Naongea na kuwakilisha sauti kutoka mitaani namna zinavyo mkubali na kumuunga mkono mh Rais wetu mama SamiaAcheni kumdanganya Rais
Najua hata wewe unajua ugumu unaoupata kwa kutoa hizi sifa.Kazi kubwa na za kipekee alizozifanya Rais wetu na ambazo zimeendelea kuonekana machoni pa watanzania zinajitangaza zenyewe na kuonekana kwa yeyote asiye jipa ukipofu
Labda wewe ndio una chuki binafsi lakini mh Rais anakubalika na kupendwa Sana na watanzania, ukienda kwa wakulima Wanampongeza na kumshukuru Rais Samia kwa kuwapatia mbolea za Ruzuku, ukienda kwa wazazi wanamshukuru na kumpongeza mh Rais kwa kuwapunguzia mzigo wa mchango baada ya kukamilisha vyumba vya madarasa bila kuwasumbua kwa michango, ukienda kwa vijana wana matumaini ya kutimiza Ndoto zao za kielimu baada ya Elimu kuwa bure Hadi kidato Cha sita huku mikopo ya Elimu ya juu ikipatikana na kuwanufaisha wenye sifa, ukienda kwa wafanyabiashara Wana mpongeza mh Rais kwa kuwawekea mazingira mazuri ya kibiashara, ukienda kwa watumishi wa umma Wanampongeza mh Rais kwa kuwaboreshea mazingira ya kazi na maslahi yao, N.kNajua hata wewe unajua ugumu unaoupata kwa kutoa hizi sifa.
Ni sawa na mwalimu kufundisha somo au mada ngumu anatumia nguvu nyingi, na anajua kabisa wanafunzi wake hawamuelewi.
Kwa vile ndio kaxi yake, inambidi akimae tu.
Pambana ndg, maji ndio hayoo ushayavulia nguo sharti uoge! Ila hata wewe unajua ukweli kwa ground hali ni mbayaaa, hawampendi hata kidogo
Vijana wameona namna mh Rais tangia alipoapishwa kuwa Rais namna alivyomwaga maelfu ya ajira mitaani katika secta zote,wameona na kunufaika na mikopo ya halmashauri, wanaendelea kunufaika na fursa za ajira kupitia secta binafsi ambayo kwa Sasa inaendelea kunawili na kuwa yenye Afya njemaWaambie wakubwa ukweli halisi huku kitaa:
N.B: Enyi wasifiaji wa kudumu wa JF msijiondoe ufahamu kwa haya maisha yasipokupiga wewe moja kwa moja yatakuoiga kupitia ukosefu wa ajira WA ndugu wa karibu. Jizime data, ila Ukirudi live utakula za USO.
- Bei ya bidhaa/huduma ipo juu;
- Biashara haziendi. Amina za watu kwenye vikoba zimeshikiliwa baada ya marejesho kugoma;
- Watu wanakimbia nyumba kukwepa mikopo umiza hasa samani kuuzwa n.k.
Hoja dhaifuunaishi kwa shemeji yako sio bure
Mkuu unatafuta udc? Ameiteka mijadsla ipi labda, watu wanalia maisha magumu wewe unatuletea mapambio hapa. Umekula maharage ya wapi weweNdugu zangu watanzania,
Rais Samia Ameendelea Kuiteka mijadala ya kisiasa Mitaani,kila mahali Ni Rais Samia,Ni Rais Samia juu ya uchapa kazi wake ulio tukuka,Ni Rais Samia juu ya kuimarisha demokrasia,Ni Rais Samia juu ya kuendesha na kuongoza maridhiano,Ni Rais Samia juu ya kulituliza Taifa letu,Ni Rais samia juu ya kukuza uchumi wetu,Ni Rais samia juu ya kuimarisha mifumo ya haki na utawala Bora,Ni Rais Samia juu ya kuhubiri na kutenda haki,Ni Rais Samia juu ya Uzalendo wake kwa Taifa letu,Ni Rais Samia juu ya mapinduzi ya kilimo,Ni Rais Samia juu ya kuliheshimisha Taifa letu,Ni Rais Samia juu ya usikivu wake,Ni Rais Samia juu ya Ukarimu na Upendo wake,Ni Rais Samia juu ya mazingira Bora ya kibiashara na kiuwekezaji,
Ni Rais Samia juu ya ushupavu na umadhubuti wake,Ni Rais Samia juu ya ujasiri na misimamo yake,Ni Rais Samia juu ya Dira na muelekeo wake ulio Bora kwa Taifa letu,Ni Rais Samia juu ya miradi mikubwa ya kimkakati Ni Rais Samia juu ya utolewaji wa huduma Bora za kiafya na kielimu,Ni Rais Samia juu ya uchumi jumuishi na kugusa kila mtu,Ni Rais Samia juu Ya Tanzania iliyo Bora na yenye kutoa matumaini yaliyo hai.
Rais Samia Mama yetu mpendwa ameamsha mioyo ya Uzalendo kwa Taifa letu,Rais Samia anajadiliwa na kupongezwa kwa kulileta Taifa pamoja na kuliweka katika vifua vya watanzania wazalendo,Rais Samia anatetewa na kupiganiwa na watanzania wengi,kila eneo ana wasemaje wa kumsemea mambo aliyo yafanya na kuyatekeleza kwa hiyari kabisa bila malipo.
Watanzania wanaonesha kuridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais wetu mpendwa mama Samia,wanaonesha kukubaliana na hatua mbalimbali anazozifanya katika kuimarisha na kuupa Afya uchumi wetu,wana mpongeza kwa namna alivyoongeza makusanyo ya mapato mpaka kufikia Trioni mbili kwa Mwezi pasipo mavurumai na uhasama na wafanyabiashara.
Kila mmoja Anayo amani katika biashara yake na shughuli yake ya kiuchumi,kila mmoja ana matumaini na kesho yake iliyo Bora.,hakuna Mwenye wasiwasi juu ya biashara yake kuvamiwa au kufirisiwa kiuonevu,Hakuna kutunishiana misuli,Ni majadiliano na kuelimishana,Hakuna kuviziana Wala visasi,hakuna kukomoana Wala kunyanyasana. Rais Samia Ni kiongozi aliyeinuliwa na kupewa baraka zote kwa ajili ya kulivusha Taifa letu kuelekea Kanaan nchi ya Ahadi yenye maziwa na Asali.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627
Basi nimefuta kauli. Kumbe mkulima nlifikiri naongea na mtu aliyeenda shule. Samahan mkuuMimi Ni mkulima na hiyo ndio ajira yangu
Nilimwambia mwashambwa Lucas alete CV yake hapa ili tujipime tunajadili na mtu WA Aina gani! Hilo alilikimbiaMkuu unatafuta udc? Ameiteka mijadsla ipi labda, watu wanalia maisha magumu wewe unatuletea mapambio hapa. Umekula maharage ya wapi wewe
Kwani unafikiri mstaafu kikwete halimi,mh pinda halimi? Kweli wewe Ni mtumwa wa akili na mawazo na Elimu yako haijakukomboa zaidi ya kukuongezea mzigo kichwani,Nini alikwambia kilimo kinalimwa na wasio na Elimu pekee? Au kwako kilimo na mkulima unakichukuliaje? Ulikuwa unawazidi Nini akina mzindakaya waliokuwa wakulima? Umewahi kumsikia sumri? Kweli wewe akili yako Ni finyu sanaaBasi nimefuta kauli. Kumbe mkulima nlifikiri naongea na mtu aliyeenda shule. Samahan mkuu
Hii siyo barua ya maombi ya uteuzi ndugu yanguKaka yangu, kuna teuzi za juzi hapa bado mabandiko hayajajibu? Naona unaendeleza, endelea kulima tu...