Rais Samia Akabidhi Nyumba Kwa Mjane wa Dkt Magufuli (Mama Janeth Magufuli)

TZ bana, majumba yote aliyokuwa nayo Magufuli, mengine alikwapua za Serikali, mengine akagawa hadi kwa hawara zake wameona hazitoshi? Huku wananchi kibao wakilala kwenye mapagale na mitaro?
Mahawara ambao hawajapata mgao ndo wanakelele za wivu
 
#PICHA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @SuluhuSamia akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa nyumba mpya ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, na kuikabidhi kwa Mama Janeth Magufuli, nyumba hiyo imejengwa na serikali kwa mujibu wa sheria jijini Dar es Salaam, leo Novemba 5, 2023.

#EastAfricaTVView attachment 2804967
 
Wamelamba mihela sana na bado wanajengewa ma jumba makubwa. This is africa. Na picha ya nyumba tuione
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…