Rais Samia Akabidhi Nyumba Kwa Mjane wa Dkt Magufuli (Mama Janeth Magufuli)

Huu ni ubaguzi Kwa watumishi wengine ,wapo Kwa kikokotoooooo,Leo mtumishi anasota na mafao hadi anakufa ,wenza hawa wanakazi gani Kwa Taifa nchi hii lazima tutoane damu,labda hawa wakoloni weusi wataelewa
 
Nyumba au funguo. Naona mama Janet ananawili baada ya kupigwa chepe. Alikua anakondeshwa tu
 
Mama Janeth kanenepa hakuwa hivi haki, yani mjane kuchana hivi maana yake nini!?
 
Huu ni ubaguzi Kwa watumishi wengine ,wapo Kwa kikokotoooooo,Leo mtumishi anasota na mafao hadi anakufa ,wenza hawa wanakazi gani Kwa Taifa nchi hii lazima tutoane damu,labda hawa wakoloni weusi wataelewa
Hapana mkuu kwa huyu mama anastahili kabisa. Japo Jiwe kiasili alikuwa katili na roho mbaya kwa huyu mama ana stahili kabisa. Mungu amtangulie amlinde amjalie afya na Marsha marefu mama Janet Magufuli.
 
Kwa kweli hiyo familia ni mabilionaire lakn bado wanajengewa nyumba ya kifahari hii inchi bhana hatari sana bado muswada wa kiinua mgongo cha wake wa marais
 
Mama Janeth kanenepa hakuwa hivi haki, yani mjane kuchana hivi maana yake nini!?
Inaweza kuwa ni Sababu nyingine kabisa... Acha maneno ya watu waswahili waswahili.

Mama magufuli Mimi namuonaga Bonge la mrembo pengine kuliko Mwanamke yeyote wa hadhi Kama hio 😁😁
 
nyumba hiyo imejengwa na serikali kwa mujibu wa sheria jijini Dar es Salaam, leo Novemba 5, 2023.
Mwenyenacho hujazwa, huko vijijini watu wanaishi kwenye ufukara huku wanene wakineemeshwa, hizi sheria zitazamwe upya zinufaishe wananchi badala ya wanaoomba kuchaguliwa kwa kisingizio cha kuwatumikia wananchi kumbe wanataka majumba

Ifike wakati tupate viongozi wanaodhamiria kujenga nchi na kuwaondolea umasikini raia siyo kujilimbikizia mali
 
Hapana mkuu kwa huyu mama anastahili kabisa. Japo Jiwe kiasili alikuwa katili na roho mbaya kwa huyu mama ana stahili kabisa. Mungu amtangulie amlinde amjalie afya na Marsha marefu mama Janet Magufuli.
toa sababu kwanini anastahili na sababu ya kisheria maana hizi ni hela za watu
 
Huu ni ufisadi kwa wanasiasa wetu, wanatuibia wakiwa madarakani na kujitungia sheria za kuendelea kuwanufaisha baada ya kuondoka madarakani
 
Mama Abdul anazengua sana
.

Kila siku hali ya uchumi Inazidi kuwa mbaya kwenye viabanda umiza watu hawawezi nunua hata soda.

Wanaangalia mpira kavu kavu tu.
 
Maarufu kuliko baba yake
First gentleman atakuwa hapendi dhuluma wala wizi.
Mzee wa watu yupo kimya ameridhika na life lake.
Abdul fisi kweli labda ni right hand ya mamake
 
Ningeshangaa kama hasingejengewa nyumba wakati mumewe alifanya hivyo kwa Marais wastaafu. Anyway ni jambo jema. Kama siyo picha tu, huyu mama inaonekana amenawili kuliko awali na uso wake una nuru na furaha. Kuna la kujifunza ktk ndoa zetu....
 
TZ bana, majumba yote aliyokuwa nayo Magufuli, mengine alikwapua za Serikali, mengine akagawa hadi kwa hawara zake wameona hazitoshi? Huku wananchi kibao wakilala kwenye mapagale na mitaro?
Ukute mke wa ndoa hakupata Chochote walifaidi Masuria tu....

Huwajui wanaume vzr,tuulize 😔😔
Wake wa ndoa wengi ni wahanga basi tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…