Rais Samia akataa kutukuzwa, asema yeye hawezi kujilinganisha na Mungu

Mama kubali tu usiogope hayatakufika, wewe pokea tu sifa na utukufu unaopewa na wanadamu.
 
Wamefanikiwa sasahivi akitoka Ulaya anapokelewa kama vile ametoka mbinguni
Huyo Samia kajaa unafiki ndo alikiwa mbaya sana wa Magufuli huyu mama sio mtu mziri! Majungu ya kizanzibar!
 
Uongozi ni kazi kubwa Sana .Mamwombea azidi kuikumbuka haki na aongeze bila visasi .
 
ni kweli Rais Samia hana makuu na wala "halewi sifa "
amejengwa kweye misingi thabiti ya kumhofu Mungu, kamwe hawezi kupumbazwa na URais.
 
NI swala la muda tu..

Vijana wa Lumumba wakishapewa zile Elfu saba huwa akili inahama wanaona Mwenyekiti ni Jesus
 
Well said,mana jiwe alitamani hata kuabudiwa
Kauli inayoonyesha kuwa rais wa JMT hana makuu na hawezi kuwa kiongozi wa kupenda makuu na kujiinua kama Mungu.
Rais Samia akataa tabia ya kutukuzwa.

===

View attachment 2127410
Picha: Rais Samia Hassan Suluhu

Rais Samia Suluhu Hassan amesema hana tabia ya kutukuzwa wala kulinganishwa na Mungu na kwamba atajitahidi kuwa na hekima na uvumilivu wa kusikiliza maoni ya wengine.

Rais Samia amesema hayo leo Jumanne Februari 22, 2022 katika sherehe za Jubilee ya miaka yake 25 inayofanyika wilayani Ngara mkoani Kagera.

Alikuwa akijibu kauli iliyotolewa na Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Severine Niwemugizi aliyeemuomba Rais Samia kutokubali kulinganishwa na Mungu kwa namna yoyote ile.

“Baba Askofu katika kufunga hotuba yako umeniasa mambo ya kukataa kutukuzwa na mimi nataka nikuahidi mbele ya umma huu kwamba, hii si tabia yangu na ninajitahidi kujishusha niwe sawa na wengine. Maana utumishi huu kama mipango ya Mungu ilivyo ameniweka hapa niwatumikie na siyo nijitukuze kwenu kwahiyo nitawatumikia,” amesema Rais Samia.

Amesema atajitahidi kuwa na hekima na uvumilivu na niwe na sikiko la kusikiliza yale yanayosemwa na wengine.

PIA SOMA:
- Askofu Niwemugizi amuomba Rais Samia asikubali kufananishwa na Mungu
 
Mbona yule mama pale siku ya sheria alimasaga kama kunguni
 
Mleta uzi sijui una tuona tuna akili kama yako?
Huyu Mama hana tofauti na JPM pesa zinazo kwenda sehemu yoyote Tanzania sio za kwake, ila utasikia Mama Samia kaleta. Mbona hawakatazi wanao tudanganya?
Kuna mambo mengi ya dhuluma yana endelea kwenye utawala wake nae ana kubaliana nao. Mfano mateso wanayo mpa Mh. Mbowe. Hvi yeye kama mkuu wa nchi hajui kwamba ni udhalimu?
Tunaendelea kusali. Mungu atayaweka wazi. Maana hata JPM hakujua kesho yake hadi akaiba kura ili atawale maisha.
Mwanadamu siku zake sio nyingi maisha yake yako kama ua la kondeni upepo hupita na kupotea wala hutajua kama palikuwa na ua. Yu wapi Jpm? Yu wapi Ndugai? Yu wapi Makonda? Yu wapi Chalalmila? Days are numbered!!!
 
Kauli inayoonyesha kuwa rais wa JMT hana makuu na hawezi kuwa kiongozi wa kupenda makuu na kujiinua kama Mungu.
Rais Samia akataa tabia ya kutukuzwa.

===

View attachment 2127410
Picha: Rais Samia Hassan Suluhu

Rais Samia Suluhu Hassan amesema hana tabia ya kutukuzwa wala kulinganishwa na Mungu na kwamba atajitahidi kuwa na hekima na uvumilivu wa kusikiliza maoni ya wengine.

Rais Samia amesema hayo leo Jumanne Februari 22, 2022 katika sherehe za Jubilee ya miaka yake 25 inayofanyika wilayani Ngara mkoani Kagera.

Alikuwa akijibu kauli iliyotolewa na Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Severine Niwemugizi aliyeemuomba Rais Samia kutokubali kulinganishwa na Mungu kwa namna yoyote ile.

“Baba Askofu katika kufunga hotuba yako umeniasa mambo ya kukataa kutukuzwa na mimi nataka nikuahidi mbele ya umma huu kwamba, hii si tabia yangu na ninajitahidi kujishusha niwe sawa na wengine. Maana utumishi huu kama mipango ya Mungu ilivyo ameniweka hapa niwatumikie na siyo nijitukuze kwenu kwahiyo nitawatumikia,” amesema Rais Samia.

Amesema atajitahidi kuwa na hekima na uvumilivu na niwe na sikiko la kusikiliza yale yanayosemwa na wengine.

PIA SOMA:
- Askofu Niwemugizi amuomba Rais Samia asikubali kufananishwa na Mungu
Matendo hunena kuliko maneno.

Kwa maneno anasema hapendi kutukuzwa, matendo yake yanasemaje?

Kupenda kutukuzwa, ni kuamini kuwa una uwezo wa kumtendea mtu yeyote jambo lolote kwa sababu una mamlaka au itajiri au umaarufu fulani.

Rais akiamini kuwa ana uwezo kuamua nani aishi nani asiishi; nani awe huru, nani awe mfungwa; nani ale, nani alale njaa; huyo tayari anajitukuza na kujifananisha na Mungu. Maana mwenye mamlaka ya kufanya chochote dhidi ya mwanadamu, ni Mungu pekee yake. Wengine wote, kwa nafasi yoyote, tumewekewa mipaka.

Amri zile za Mungu ndiyo mwisho wa mamlaka yetu. Sheria zinazotungwa na jamii kwa namna ya haki, isiyo na hila wala udanganyifu, ndiyo mipaka ya mwisho.

Nani anaamini ana uwezo wa kumtesa Mbowe na wale makomandoo hata kama hawana hatia yoyote, kwa sababu tu ana mamlka? Kwa hakika, jibu ni Samia. Kwa sababu anaamini ana uwezo wa kumfanya chochote mwanadamu yeyote, kama alivyo Mungu.

"Mkinizingua, nitawazingua" - Rais Samia.

Kilichofuatia Mbowe na wafuasi wengi wa CHADEMA, wakakamatwa na kurundikwa ndani. Kisha maagizo yake ya kutaka Mbowe awekwe ndani, yakafanyiwa kazi na mawakala wengine wa shetani. Ushetani ule bado unadumu, naye anasimama, tena mbele ya mkutano wa Mungu, kuwa hapendi kutukuzwa.
 
Muda ni mchache mambo ni mengi, haihitaji kuwa nabii ili kutambua majira, taratibu mafuta yataelea juu ya maji
 
Loh basi hatuna Rais, si alitakiwa afuate nyayo za JPM, Mungu anatakiwa amshukuru Madam Pres. Samia kwa utendaji wake murwa wa kazi
 
Kauli inayoonyesha kuwa rais wa JMT hana makuu na hawezi kuwa kiongozi wa kupenda makuu na kujiinua kama Mungu.
Rais Samia akataa tabia ya kutukuzwa.

===

View attachment 2127410
Picha: Rais Samia Hassan Suluhu

Rais Samia Suluhu Hassan amesema hana tabia ya kutukuzwa wala kulinganishwa na Mungu na kwamba atajitahidi kuwa na hekima na uvumilivu wa kusikiliza maoni ya wengine.

Rais Samia amesema hayo leo Jumanne Februari 22, 2022 katika sherehe za Jubilee ya miaka yake 25 inayofanyika wilayani Ngara mkoani Kagera.

Alikuwa akijibu kauli iliyotolewa na Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Severine Niwemugizi aliyeemuomba Rais Samia kutokubali kulinganishwa na Mungu kwa namna yoyote ile.

“Baba Askofu katika kufunga hotuba yako umeniasa mambo ya kukataa kutukuzwa na mimi nataka nikuahidi mbele ya umma huu kwamba, hii si tabia yangu na ninajitahidi kujishusha niwe sawa na wengine. Maana utumishi huu kama mipango ya Mungu ilivyo ameniweka hapa niwatumikie na siyo nijitukuze kwenu kwahiyo nitawatumikia,” amesema Rais Samia.

Amesema atajitahidi kuwa na hekima na uvumilivu na niwe na sikiko la kusikiliza yale yanayosemwa na wengine.

PIA SOMA:
- Askofu Niwemugizi amuomba Rais Samia asikubali kufananishwa na Mungu
Marais wa kiislam huwa ni wanyenyekevu hawana makuu. Wanajua kujishusha siku zote. Simuoni SSH akienda tofauti na JK, simuoni akienda tofauti na Mwinyi.

Hawana ule ushamba wa kutaka kutatua matatizo yote ya dunia eti wayamalize watakapokuwa wameondoka ikulu.
 
Back
Top Bottom