Rais Samia akataa kutukuzwa, asema yeye hawezi kujilinganisha na Mungu

Hata Petro alikataa kuwa siyo mfuasi wa Yesu lakini matendo yake tu yalionyesha, hatuoni anavyoshangiliwa akitoka Ulaya watu wanaacha kazi zao kama vile ametoka mbinguni na kutumia gharama kibao za walipa kodi
Hakuna aliyeambiwa na Rais,aache kazi,ni mapenzi yao kwa Rais wao.
 
Mama kwa nukta hiyo tuu Mungu akubariki sana.

#SSH
 
Baba Askofu Niwemugizi amemuona ana uelekeo huo wa kupenda kutukuzwa na kuabudiwa kama MUNGU ndio maana amegonga nyundo palepale utosini.

Amemuonya ili asije akaingia mtego wa Jiwe aliyechanganyikiwa; akakubali kuabudiwa na wakina Kangi Lugola katika uchawa wao wa kujipendekeza na hatimaye akatwaliwa kizembe zembe!!
 
Ndio wanaongoza kwa kuuza mbuga na maliasili bure.
 
Uliujulia wap kama hauandikwi?
Wavaa kanzu ni hopeless na maisha yao ndio siasa nje ya siasa ni wala pweza tu na urojo.
Ndio wastaafu marais walio hai mpaka dakika hii, ni waungwana wasio na kiburi wala ubabe wa kijinga.

Hawaweki vitu moyoni, na Mungu anawapa siku nyingi za kuishi duniani.
 
Ndio wastaafu marais walio hai mpaka dakika hii, ni waungwana wasio na kiburi wala ubabe wa kijinga.

Hawaweki vitu moyoni, na Mungu anawapa siku nyingi za kuishi duniani.
Kuwa hai haijustify ni wema Mungu anawacha hai ili watubu mazambi yao.
Mungu anasema hafurahii kifo cha mwenyen dhambi bali kutubu kwake.
 
Punguzeni wivu basi!!!!!!!
Aanze kuwambia wanaomsubili uwanja wa ndege na mapicha waache.
Pia wanaosema katoa pesa za za miradi mao wakome waseme serikali imetoa.
 
Wanasiasa wote wanapenda KUABUDIWA.

Utasikia wengine wanaitwa MWAMBA, CHUMA, KAMANDA WA ANGA, RAIS WA MIOYO, MKOMBOZI KATUMWA na MUNGUπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sasa unanipigia kelele mimi kwani hiyo habari ni ya kwangu au ni ya BBC?πŸ’πŸ’πŸ’
 
Mama hana tabia hiyo, mmeanza kumsingizia hamuoni ametufundisha kulipa kodi kwa lazima kwa maendeleo yetu, Ameweka mawaziri wenye uelewa mkubwa juu ya Hotspot πŸ˜„Kazi iendelee mazee
 
Ila ukitembelea vibanda vya magazeti utaona namna magazeti yanavyomsifia utadhani wapo kwenye mashindano ya nani anaweza kuandika habari za kusifu kuliko mwenzake.

Hakuna habari za kiuchunguzi tena ni sifa tu.
 
Kwani hata kama hatujui kusoma hata picha hatuoni? kwanini baba Askofu aseme/amwambie hivyo?
Wale CHAWA walioenda uwaja wa ndege kumpokea na kujifanya wamachinga wanajisikiaje?
 
Umesahau mabaya ya viongozi wa kikristo, ufisadi usioandikwa magazetini lakini upo na ni mkubwa.

Hakuna ufisadi uliokithiri kufanyika nchi hii kama enzi ya KIKWETE!! Nchi ilianza kupoteza dira ya maendeleo pale huyu mkwere alipoanza kutembea hovyo kwenda kuomba omba huku akiuza mbuga zetu za wanyama na fedha kuzificha nchi za nje!! Aliuza wanyama pori 600 kwa waarabu wa UAE na wao wakaanzisha mbuga yao ya wanyama pori huko jangwani kwao! Mpaka Leo hizo fedha walizolipwa na Waziri wake Nyalandu hazimo kwenye vitabu vya serikali!!
Kumbuka pia kuwa hata kashfa kubwa kubwa za fedha nyingi ikiwemo ile ya IPTL ,chimbuko lake ni Kikwete!!
 
Kauli ya kistaarabu kabisa ya rais. Mheshimiwa rais kwa hii kauli yake anatoa matumaini na imani kwa umma. Ni kauli ya ukomavu na anaonyesha ni kiasi gani anavyokwenda kuleta mustakabali mzuri wa Taifa hili. Angekuwa ni mtu mwingine angeona amevunjiwa heshima kwa kuelekezwa namna ya kuishi na walio chini yake. Gradually rais anaenda kukonga nyoyo za binadamu wa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…