Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Sawa lakini na wanaomkosoa wafanye kwa ustaarabu. Yaani kuwe na kusikilizana na kuheshimiana.Kauli inayoonyesha kuwa rais wa JMT hana makuu na hawezi kuwa kiongozi wa kupenda makuu na kujiinua kama Mungu.
Rais Samia akataa tabia ya kutukuzwa.
===
View attachment 2127410
Picha: Rais Samia Hassan Suluhu
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hana tabia ya kutukuzwa wala kulinganishwa na Mungu na kwamba atajitahidi kuwa na hekima na uvumilivu wa kusikiliza maoni ya wengine.
Rais Samia amesema hayo leo Jumanne Februari 22, 2022 katika sherehe za Jubilee ya miaka yake 25 inayofanyika wilayani Ngara mkoani Kagera.
Alikuwa akijibu kauli iliyotolewa na Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Severine Niwemugizi aliyeemuomba Rais Samia kutokubali kulinganishwa na Mungu kwa namna yoyote ile.
“Baba Askofu katika kufunga hotuba yako umeniasa mambo ya kukataa kutukuzwa na mimi nataka nikuahidi mbele ya umma huu kwamba, hii si tabia yangu na ninajitahidi kujishusha niwe sawa na wengine. Maana utumishi huu kama mipango ya Mungu ilivyo ameniweka hapa niwatumikie na siyo nijitukuze kwenu kwahiyo nitawatumikia,” amesema Rais Samia.
Amesema atajitahidi kuwa na hekima na uvumilivu na niwe na sikiko la kusikiliza yale yanayosemwa na wengine.
PIA SOMA:
- Askofu Niwemugizi amuomba Rais Samia asikubali kufananishwa na Mungu
Hujaielezea kwa ukamilifu wake hivyo ulichofanya ni upotoshaji tu kama upotoshaji mwingine.Sasa unanipigia kelele mimi kwani hiyo habari ni ya kwangu au ni ya BBC?🐒🐒🐒
Wizi nchi hii umeanza kabla ya JK. Kama unakumbuka suala la GAPCO enzi za Nyerere awamu ya kwanza. Masuala ya vivuko enzi za Nyang'anyi awamu ya kwanza.Hakuna ufisadi uliokithiri kufanyika nchi hii kama enzi ya KIKWETE!! Nchi ilianza kupoteza dira ya maendeleo pale huyu mkwere alipoanza kutembea hovyo kwenda kuomba omba huku akiuza mbuga zetu za wanyama na fedha kuzificha nchi za nje!! Aliuza wanyama pori 600 kwa waarabu wa UAE na wao wakaanzisha mbuga yao ya wanyama pori huko jangwani kwao! Mpaka Leo hizo fedha walizolipwa na Waziri wake Nyalandu hazimo kwenye vitabu vya serikali!!
Kumbuka pia kuwa hata kashfa kubwa kubwa za fedha nyingi ikiwemo ile ya IPTL ,chimbuko lake ni Kikwete!!
Wizi nchi hii umeanza kabla ya JK. Kama unakumbuka suala la GAPCO enzi za Nyerere awamu ya kwanza. Masuala ya vivuko enzi za Nyang'anyi awamu ya kwanza.
Hizi tuhuma za kuuza wanyama ni story za mtaani za kunywea kahawa, huwa hazina ushahidi. Ni sawa na zile za mke wa Mwinyi Mama Siti kutorosha meno ya tembo pale uwanja wa ndege, eti Mrema ndio akazuia hiyo biashara, ni hadithi za kupakana matope.
Taarifa ya habari ya vituo mbali mbali vya Tv ndiyo balaa,jina lake linatajwa kila habariIla ukitembelea vibanda vya magazeti utaona namna magazeti yanavyomsifia utadhani wapo kwenye mashindano ya nani anaweza kuandika habari za kusifu kuliko mwenzake.
Hakuna habari za kiuchunguzi tena ni sifa tu.
sikio la kusikia ya wengine,wakati ndugai aliposema ya kwake alichanwa chanwa na kuanikwa hadharaniKauli inayoonyesha kuwa rais wa JMT hana makuu na hawezi kuwa kiongozi wa kupenda makuu na kujiinua kama Mungu.
Rais Samia akataa tabia ya kutukuzwa.
===
View attachment 2127410
Picha: Rais Samia Hassan Suluhu
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hana tabia ya kutukuzwa wala kulinganishwa na Mungu na kwamba atajitahidi kuwa na hekima na uvumilivu wa kusikiliza maoni ya wengine.
Rais Samia amesema hayo leo Jumanne Februari 22, 2022 katika sherehe za Jubilee ya miaka yake 25 inayofanyika wilayani Ngara mkoani Kagera.
Alikuwa akijibu kauli iliyotolewa na Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Severine Niwemugizi aliyeemuomba Rais Samia kutokubali kulinganishwa na Mungu kwa namna yoyote ile.
“Baba Askofu katika kufunga hotuba yako umeniasa mambo ya kukataa kutukuzwa na mimi nataka nikuahidi mbele ya umma huu kwamba, hii si tabia yangu na ninajitahidi kujishusha niwe sawa na wengine. Maana utumishi huu kama mipango ya Mungu ilivyo ameniweka hapa niwatumikie na siyo nijitukuze kwenu kwahiyo nitawatumikia,” amesema Rais Samia.
Amesema atajitahidi kuwa na hekima na uvumilivu na niwe na sikiko la kusikiliza yale yanayosemwa na wengine.
PIA SOMA:
- Askofu Niwemugizi amuomba Rais Samia asikubali kufananishwa na Mungu
Hivi wewe kweli ni Phillipo? Maana inaelekea unaona tu ubaya wa wamisheni.Umesahau mabaya ya viongozi wa kikristo, ufisadi usioandikwa magazetini lakini upo na ni mkubwa.
Mbona anataka asisimuliwe vibaya??!Kauli inayoonyesha kuwa rais wa JMT hana makuu na hawezi kuwa kiongozi wa kupenda makuu na kujiinua kama Mungu.
Rais Samia akataa tabia ya kutukuzwa.
===
View attachment 2127410
Picha: Rais Samia Hassan Suluhu
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hana tabia ya kutukuzwa wala kulinganishwa na Mungu na kwamba atajitahidi kuwa na hekima na uvumilivu wa kusikiliza maoni ya wengine.
Rais Samia amesema hayo leo Jumanne Februari 22, 2022 katika sherehe za Jubilee ya miaka yake 25 inayofanyika wilayani Ngara mkoani Kagera.
Alikuwa akijibu kauli iliyotolewa na Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Severine Niwemugizi aliyeemuomba Rais Samia kutokubali kulinganishwa na Mungu kwa namna yoyote ile.
“Baba Askofu katika kufunga hotuba yako umeniasa mambo ya kukataa kutukuzwa na mimi nataka nikuahidi mbele ya umma huu kwamba, hii si tabia yangu na ninajitahidi kujishusha niwe sawa na wengine. Maana utumishi huu kama mipango ya Mungu ilivyo ameniweka hapa niwatumikie na siyo nijitukuze kwenu kwahiyo nitawatumikia,” amesema Rais Samia.
Amesema atajitahidi kuwa na hekima na uvumilivu na niwe na sikiko la kusikiliza yale yanayosemwa na wengine.
PIA SOMA:
- Askofu Niwemugizi amuomba Rais Samia asikubali kufananishwa na Mungu
Aliyemwambia hayo ni mpuuzi kama wapuuzi wengine. Angetoa ushahidi wa uungu alionao Mh Samia. Pumbamvu kabisa huyo askofuAjitafakari kwanini ameambiwa hivyo?
Wazazi wakoAliyemwambia hayo ni mpuuzi kama wapuuzi wengine. Angetoa ushahidi wa uungu alionao Mh Samia. Pumbamvu kabisa huyo askofu
Awapi nani ana mapenzi naye?Hakuna aliyeambiwa na Rais,aache kazi,ni mapenzi yao kwa Rais wao.
Huo huoMuhimili wa bunge au Muhimili wa majizi ya kura?
Nadhani hili ni dongo kwa 'hayati'. Huko aliko kazi anayo.Kauli inayoonyesha kuwa rais wa JMT hana makuu na hawezi kuwa kiongozi wa kupenda makuu na kujiinua kama Mungu.
Rais Samia akataa tabia ya kutukuzwa.
===
View attachment 2127410
Picha: Rais Samia Hassan Suluhu
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hana tabia ya kutukuzwa wala kulinganishwa na Mungu na kwamba atajitahidi kuwa na hekima na uvumilivu wa kusikiliza maoni ya wengine.
Rais Samia amesema hayo leo Jumanne Februari 22, 2022 katika sherehe za Jubilee ya miaka yake 25 inayofanyika wilayani Ngara mkoani Kagera.
Alikuwa akijibu kauli iliyotolewa na Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Severine Niwemugizi aliyeemuomba Rais Samia kutokubali kulinganishwa na Mungu kwa namna yoyote ile.
“Baba Askofu katika kufunga hotuba yako umeniasa mambo ya kukataa kutukuzwa na mimi nataka nikuahidi mbele ya umma huu kwamba, hii si tabia yangu na ninajitahidi kujishusha niwe sawa na wengine. Maana utumishi huu kama mipango ya Mungu ilivyo ameniweka hapa niwatumikie na siyo nijitukuze kwenu kwahiyo nitawatumikia,” amesema Rais Samia.
Amesema atajitahidi kuwa na hekima na uvumilivu na niwe na sikiko la kusikiliza yale yanayosemwa na wengine.
PIA SOMA:
- Askofu Niwemugizi amuomba Rais Samia asikubali kufananishwa na Mungu
Anapenda sifa nzuri au sifa za hovyo?. Tuanzie hapo kwanza.Tatizo siyo yeye ni wale " chawa"
Ila Tundu Lisu anapenda sifa sana!