Rais Samia akataa kutukuzwa, asema yeye hawezi kujilinganisha na Mungu

Mzee Mwinyi ndio alikua wa kwanza kukataa kuitwa mtukufu na huyu Mama wapo waliopenda kuitwa Mungu na watumishi wao na waliona sifa ila mbele za Mungu ni kosa kubwa sana katika Imani ila ukiwa huna iman yeyote ni sawa tuu...
 
Hata Petro alikataa kuwa siyo mfuasi wa Yesu lakini matendo yake tu yalionyesha, hatuoni anavyoshangiliwa akitoka Ulaya watu wanaacha kazi zao kama vile ametoka mbinguni na kutumia gharama kibao za walipa kodi
Kupokewa kwa shangwe hakumfanyi kuwa 'Mungu'. Ni mbinu tu ya kutetea Reputation ya kiti cha urais. Pia ionekane anaungwa mkono. Imagine anashuka kwenye ndege yupo yeye tu na wachache alioongozana nao. Watajitokeza watesi wake fasta sana na kusambaza uzushi kwamba 'SAMIA HAKUBALIKI-arejea nyumbani kiyatima yatima' wakiambatanisha na 'ushahidi' wa picha. Hahahaaaaa.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Nyuki gani waovyo hivyo.hao ni chawa sio nyuki.nyuki hawezi kua mjinga.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nonsense
 
Kwahiyo hao watu wakisema samia hakubaliki ndio itamuondolea yeye kua rais?.Huu sio wakati wakupiga mapambio ni wakati wayeye na watu wake kuifanya kazi waliyomba kwa ajili ya watanzania.na tutakuja kumpima kwa jinsi alivyotekeleza majukumu yake kama rais nasio kwajinsi alivyokua anapokewa na lundo la watu.Hii nchi bado ina mambo mengi yakufanya kuliko kulundikana kumpokea rais.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kuwa sawa na wengine sio kujishusha, bali ndo usawa wenyewe.

Unaposema utajitahidi kujishusha maana yake upo juu ya wengine na sio rahisi kuwa sawa hadi ujitahidi, hii itoshe tu kusema amejibu hoja ya Askofu tu ila utekelezaji sio guarantee.
 
Hayo maigizo yanasaidia sana kulingana na aina ya jamii tuliyo nayo. Si unaona hata 'hayati' alivyokuwa anaigiza mabarabarani kwamba yeye ana 'huruma' sana,kumbe.... Kuna watu wanaokotwa sana kwa hayo 'maigizo'. Wapo watu hadi leo wanaamini 'hayati' alikuwa na huruma sana na alikuwa rais wa wanyonge kweli. Politics is an Art.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Utu tuvituko sijui tutaisha lini,Rais wa tz ujifananishe na Mungu..sasa kina Putin wajifananishe na nani...mapanki sijui asemeje.Hata kuandika hivyo juu ya Mungu wetu umekosea sana.Mwachen arelax mbona tunafanya madhambi mengi ila kauchuna tu,sijui mnamchokonoa ili atufanyaje sijui🙄🙄
 
Lakini hata kupenda kuwekewa mabango ya picha zake mabarabarani na kwenye viwanja vya ndege ni aina ya kujiinua na kujitukuza. Hakuna Rais mwingine ukiacha JPM aliyefanya haya, na ndiyo waungwana na wasio na unafiki kama Baba Askofu Niwemugizi wameona bora wamkemee. Tulizoea mabango kama hayo wakati kampeni cha uchaguzi. Au iseme kwanza na timu zake wameanza kampeni mapema?
 
Naona raia na hasahasa viongozi bado hawajaelewa kauli ya Mh. Rais Samia Suluhu Hassan


Picha toka maktaba : Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya nchi wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi tarehe 10 Juni 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
 
ANAUPIGA MWINGI limekuja kwa bahati mbaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…