Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo hapo alisimama kuchimba dawa?Rais anaweza kusimama popote anapotaka
Hata asipoomba kabisa hizo kura italeta tofauti gani,Za uraisi, anaomba kwa wabunge wabunge wanaenda kumuombea kwa raia anakua hapati shida ya kukutana na raia wenye ziki na matatizo mengi yasiyoisha
Alichosema Rais ni kweli,Ni hopeless person and can not share love and hope to people. Leaders are meant change things and offer immediate solutions to issues. Hopefully ako low sharpness kwenye brain
Rais anaweza kusimama popote,Sababu ya msingi ya Rais kusimama barabarani ni nini hasa, huku ni kutokujitambua na kutojua uwajibikaji, in rare occasion chipping from the grassroots it's a good thing, a big shame and worse empty mind
Haya Uchaguzi mwema hapo Rujewa!Huyo huyo Cha msingi ni mbunge
Kidumu CHAMA CHA MASELARais Samia leo September akiwa Nangurukuru mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.
Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au wasaidizi wake.
Mwaka 2017 Rais Magufuli akiwa anaelekea Mtwara alisimamishwa Somanga na mwananchi aliyeelezea changamoto ya zahanati katika eneo hilo kutokamilika kwa miaka mingi. Rais Magufuli alichangia na kuamrisha ikamilike.
Alipopita tena barabara hiyo miaka 3 baadae mwananchi huyo alimzawadia jogoo na Magufuli alimsubiri mpaka alipomkamatia na kumpa. Alipofariki, mwananchi huyo alifunga safari kumzika Rais Magufuli mwaka 2021.
Ili mawasiliano yakamilike,lazima kuwe na feedback kutoka kwa hadhira.Kwani akisikiliza alafu akaliacha kwa RC,kuna shida gani?
Moja ya sifa ya Kiongozi bora ni kusikiliza!
Kazi ya Rais sio kutatua matatizo binafsi ya raia. Kazi ya Rais ni kushughulika na kuzungumzia mambo ya kitaifa na kimataifa sehemu yoyote anayoona inafaa kufanya hivyo.Kilichomsimamisha njiani ni nini kama sio mataizo binafsi ya wananchi? Kwanini ana sima simama njiani ikiwa anaogopa maswali? Kwanini ana simama simama?
Rais Samia leo September akiwa Nangurukuru mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.
Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au wasaidizi wake.
Mwaka 2017 Rais Magufuli akiwa anaelekea Mtwara alisimamishwa Somanga na mwananchi aliyeelezea changamoto ya zahanati katika eneo hilo kutokamilika kwa miaka mingi. Rais Magufuli alichangia na kuamrisha ikamilike.
Alipopita tena barabara hiyo miaka 3 baadae mwananchi huyo alimzawadia jogoo kama shukrani ya kutimiza ahadi ya kufanyia kazi dukuduku lake na Magufuli alimsubiri mpaka alipomkamatia na kumpa. Alipofariki, mwananchi huyo alifunga safari kumzika Rais Magufuli mwaka 2021.
Wananchi nao waache kiherehere,wanamsumbua Rais kwani walimchagua?Afikishe Kwa wahusika alichotaka kusema
Hataki kujenga hiyo tabiaAngweza kusikiliza mmoja au wawili yaani huyu Maza ni mvivu kinona! Yaani hata shauku hana...
Rais katika nchi kubwa kama hii akianza kusikiliza kesi za mirathi, ugomvi wa mke na mume, kuibiana kuku n.k tutafika kweli??Kwani akisikiliza alafu akaliacha kwa RC,kuna shida gani?
Moja ya sifa ya Kiongozi bora ni kusikiliza!
Rais anaweza kusimama popote kama vile raia mwingine yeyote anavyoweza kusimama popote.Sasa yeye Rais kasimama pale kwenye kadamnasi kufanya nini,si angepita speed na kuwapungia mkono!
Unakuta mwananchi keshafikisha kero zao kwa ngazi za chini na ameshashugulikiwa ila unakuta hajaridhika anataka aende kwa Rais..Hilo lilijitokeza mara nyingi awamu ya Magufuli ambapo unakuta wamama waalishindwa kesi na rufaa zote kwenye ngazi za chini wakafanya vituko kwenye mikutano ya Magufuli wakidai kuwa wamedhulumiwa, kumbe hawakuwa na haki na wao ndio walikuwa wakosajiTungejiuliza kwanza kwanini kuwe na wananchi wengi wanaotaka kumweleza rais shida zao wakati ngazi za chini kuna wateule wa rais chungu nzima! Hili ndilo tatizolinalotakiwa kutatuliwa. Wabunge kwa nini hawatimizi majukumu? Wakuu wa wilaya nk kwa nini hawatekelezi majukumu? Jibu ni kuwa hawajioni kama wanawajibika kwa raia. Wanajiona kuwa rais ndiyo bosi wao. Bila kubadisha mfumo ni bure.
Hata wakimchagua wembe ni huo huo,hakuna kulea ujingaWananchi nao waache kiherehere,wanamsumbua Rais kwani walimchagua?
Samia kapata Urais kupitia kitabu tu kama vitabu vingine!
Anasimama barabara wamwangalie kama sanamu? Basi asisimame barabarani! Viongozi hawa bhana hawaelewi hata wanachofanya!Sahihi kabisa, utaratibu wa Rais kusikiliza shida za mtu mmoja mmoja barabarani haufai
Kama ameenda hasikilizwi,afanyeje?Huwezi kuongoza nchi kubwa kama Tanzania kwa mfumo wa Rais kusikiliza matatizo binafsi ya watu nchi ikasonga mbele.
Wenzetu wanaojua maana ya Rais, waziri mbunge inapofanyika town Hall meeting watu wanauliza, wanatoa malalamiko yao mapendekezo kwa masuala ya mtaa, mji, jimbo au taifa. Sio malalimiko ya umenyang'anywa kiwanja na tajiri au umefukuzwa kazini ambayo ni masuala ya polisi na mahakama.