Rais Samia Akipata Chai Ya Motomoto Na Vitumbua Kabla ya kuendelea Na Majukumu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo Mkoani Tanga

Prof Janabi ushauri wako unapuuzwa na aliyekupa kazi ya kumshauri kuhusu afya!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kama Mnavyojua Rais wetu ni mtu wa kazi,ni mtu wa kupambana kutwa nzima .akiingia kazini anakuwa ameingia na inakuwa ni kazi juu ya kazi kwa siku nzima bila kupumzika.

Kwa hiyo mapema kabisa Leo kabla ya kuendelea na ziara yake ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM.

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan alipata wasaa wa kupata chai ya moto na Vitumbua pembeni yake .ili kuweza kupata nguvu na kujiweka sawa kwa ajili ya kazi nzito ya ziara iliyopo mbele yake.

Kwa hakika Rais Wetu Mpendwa Daktari Mama Samia ni chuma kwelikweli, tuna kila sababu ya kujivunia kuongozwa naye.

Huyu hapa Mama akiwa Mwenye tabasamu na furaha lakini mwenye Morali kubwa sana ya kuonana na watanzania ambao siku zote anawapenda sana na kuwajali na ndio maana anakesha anafanya kazi usiku na pia kutwa nzima au Mchana wote.👎🙏View attachment 3251617

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Hata kama ni Uchawa, Nadhani uwe unasifia vitu vya maana!
Muda wote kabisa wewe kazi yako ni kusifia petty issues!! Looh!
 
Huyu mama huyu aliita katiba yetu Tanganyika kijitabu TU. Tupo tunamwangalia TU.
 
Kumbe na yeye samia huwa anakunywa chai na kitumbua kama Lolita wangu!!!
Kuna ujumbe wa miradi yake huko ,Same, Kilimanjaro
 
Attachments

  • millardayo_87586b7fde804f1793b45dcc73d99f50.jpg
    millardayo_87586b7fde804f1793b45dcc73d99f50.jpg
    180.4 KB · Views: 1
  • millardayo_a60d2b2aa8534d76a0ad5fc7153ab0cd.jpg
    millardayo_a60d2b2aa8534d76a0ad5fc7153ab0cd.jpg
    148.8 KB · Views: 1
Ndugu zangu Watanzania,

Kama Mnavyojua Rais wetu ni mtu wa kazi,ni mtu wa kupambana kutwa nzima .akiingia kazini anakuwa ameingia na inakuwa ni kazi juu ya kazi kwa siku nzima bila kupumzika.

Kwa hiyo mapema kabisa Leo kabla ya kuendelea na ziara yake ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM.

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan alipata wasaa wa kupata chai ya moto na Vitumbua pembeni yake .ili kuweza kupata nguvu na kujiweka sawa kwa ajili ya kazi nzito ya ziara iliyopo mbele yake.

Kwa hakika Rais Wetu Mpendwa Daktari Mama Samia ni chuma kwelikweli, tuna kila sababu ya kujivunia kuongozwa naye.

Huyu hapa Mama akiwa Mwenye tabasamu na furaha lakini mwenye Morali kubwa sana ya kuonana na watanzania ambao siku zote anawapenda sana na kuwajali na ndio maana anakesha anafanya kazi usiku na pia kutwa nzima au Mchana wote.👎🙏View attachment 3251617

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Zilaaniwe shahaba chafu alizokojoa baba yako ukaziliwa choko Lucas Mwashambwa
 
kazi na dawa,
well dane mama na kiongozi wetu, DR. SAMIA SULUHU HASSAN
 
Back
Top Bottom