Rais Samia Akipata Chai Ya Motomoto Na Vitumbua Kabla ya kuendelea Na Majukumu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo Mkoani Tanga

Rais Samia Akipata Chai Ya Motomoto Na Vitumbua Kabla ya kuendelea Na Majukumu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo Mkoani Tanga

Kumbe na yeye samia huwa anakunywa chai na kitumbua kama Lolita wangu!!!
Samia alianzia wapi maisha? alizaliwa wapi? alikulia wapi? etc etc......ukimuwaza Samia in termsof her genesisi hutauiza ikuwa unatania! Niyo maana nasema mwashamba lucas Mwashamba ni wasted sperms!
 
Vitumbua mafuta matupu
Nilitegemea wajaze matunda hapo, maana naona vitumbua zaidi ya kumi 😄
 
Kwa kweli kanibubujisha machozi ya furaha huyu kipenzi chako.
Ila ana ulaji mmbaya sana,chai na juice kwa pamoja?
Hiyo anapiga pasi ndefu, kuja kula tena ni jioni sana. Siyo kama wewe unapiga chai ingine saa nne plus lunch na chai ya saa 10
 
Kwa umri huo alionao,hayo matumbura na masukari anayobugia hovyo.
Yeti macho tu.
Jisemee wewe unayeukalisha mwili bila mazoezi wala kujishughulisha na shughuli zozote zile. Rais wetu muda wote yupo kazini
 
Haswaa, na ndo mbinu inayotumiwa na CCM kulaghai watu
Watu wanaipenda CCM kwa hiyari yao pasipo kilaghaiwa wala kudanganywa. CCM inapendwa na watu kwa sababu ndio mtetezi na sauti ya watanzania.ndio chama chenye uchungu na Maisha ya watu,ndio chama chenye kusikiliza na kutatua kero za watu kwa kutoa majawabu ya kueleweka.
 
Kingekuwa na uchungu na maisha ya watu Tanzania ingekuwa mbele sana kimaendeleo

Back
Top Bottom