Dini yako wewe ukienda unapewa nini? Kwanza ujue wewe unapewa nini kabla hujauliza wenzioHivi hao wanawake wa kiislam wakifika huko mbinguni wanapewa nini??? Maana wanaume wanatunukiwa nguvu za kushughulikia mabikra 72 na mito ya pombe,,,,au hawa wakienda huko ndo wanakua hao ma bikra wanaopewa wanaume
tafisri kwa kiswahili. pengine kiengreza kimekupa tabuKasome nilichoandika, acha kujibu kwa mihemko, dini tumezikuta na tutaziacha
InshaAllah! Ngoja nianze kuvaa kobazi na kufuga ndevu kama Osama.kafiri nawewe kumbe unajuajua🤣🤣
jiunge dini ya haki basi
sawa ndugu kafiri katika imaniInshaAllah! Ngoja nianze kuvaa kobazi na kufuga ndevu kama Osama.
Katika Biblia, ndevu zinaonekana kama sehemu muhimu ya tamaduni na taratibu za kijamii. Hapa kuna baadhi ya maeneo ambapo ndevu zinatajwa:InshaAllah! Ngoja nianze kuvaa kobazi na kufuga ndevu kama Osama.
Ulieshindwa kunielewa ni wewe.tafisri kwa kiswahili. pengine kiengreza kimekupa tabu
ok, tulekee uwanja wa MkapaUlieshindwa kunielewa ni wewe.
Sasa hapo kiingereza kimenipaje tabu?
Kariri biblia yako kama rahisiNeno sahihi ni Mashindano ya kukariri Kuruani sio kuelewa Kuruani
Dini imekufanya uwe mjinga na mgonvi.ok, tulekee uwanja wa Mkapa
Wakristo tunafundishwa kuelewa Biblia sio kukariri BibliaKariri biblia yako kama rahisi
MashaAllah!Katika Biblia, ndevu zinaonekana kama sehemu muhimu ya tamaduni na taratibu za kijamii. Hapa kuna baadhi ya maeneo ambapo ndevu zinatajwa:
someni Biblia
- Maagizo ya Mungu kwa Waisraeli: Katika Agano la Kale, hasa katika Kitabu cha Walawi, kuna maagizo maalum kuhusu kutokukata ndevu. Katika Walawi 19:27, inasema: "Msiendelee kukata ndevu zenu, wala msivichane vichwa vyenu." Hii ilikuwa sehemu ya sheria za Waisraeli kuhusu jinsi ya kujitambulisha na kutofautiana na mataifa mengine.
- Ndevu na Utukufu wa Mungu: Katika baadhi ya matukio, ndevu zinahusishwa na heshima na utukufu. Kwa mfano, ndevu za Mfalme Daudi zinatajwa kwa heshima.
- Mifano ya Watu wa Biblia: Mifano kama ya Samson, ambaye alikuwa na nguvu kubwa na alikuwa na ndevu ndefu, zinatoa picha ya umuhimu wa ndevu katika tamaduni za wakati huo.
kila mtu na kipaumbele chake. kama wewe unashinda asubuhi kwa mkapa mpaka jioni kwa ajili ya Simba na Yanga wakati hata shilingi hupati, wanaopata wachezaji unajiona unaakili, kwangu wewe sawa sawa na Juha tu. bora yule anaebeba makopo barabaraniDini imekufanya uwe mjinga na mgonvi.
Dini tumezikuta tu na tutaziacha, no need kupambana kama vile wewe ndie founder
ni miongoni mwa maishaSSH ataongea siasa tu
kweli, ndio maana wasichana wanavaa mivimi maana vimetajwa sana ktik maandiko ya bibliaWakristo tunafundishwa kuelewa Biblia sio kukariri Biblia
Nikija tu, nataka nikabidhiwe mabikira wangu 72. Sihitaji mpaka siku ya kifo. Nawataka wakati bado nipo hai.sawa ndugu kafiri katika imani
Kwenye Usiamu siasa ni sehemu ya dini hata akiongelea miradi ya umwagiliaji kwenye hilo shindano ni sawa tu kwaoSSH ataongea siasa tu
Maisha ya Madinani miongoni mwa maisha
kwani huko hakuna? nenda usiku mitaa ya mazenzeNikija tu, nataka nikabidhiwe mabikira wangu 72. Sihitaji mpaka siku ya kifo. Nawataka wakati bado nipo hai.