Rais Samia akishiriki tamasha la Mashindano ya Kuhifadhi Quran kwa Wanawake

Wacha waite majini mahaba wanaume si hamtaki kuwaoa

Wacha watiririke aya za kuyaita
Yataitwa live.
Jamaa fulani alifanya makutano wa Injili Mkoani Lindi akasema kuwa kila sheikh ana majini kama mnabisha mumlete shehe nishushe moto asipogalagazwa na mashetani mniue.
Mwana palichimbika 😂😂😂
 
Hateki yeye eti, kwani anateka yeye?
lakini anafahamu fika na yeye kama rais kwenye hizi nchi zetu za kijinga za kiafrika ana nguvu kubwa kuwajibisha wanaofanya hayo mambo lakini hafanyi hivyo. unadhani akitaka kuwashughulikia na kukomesha utekaji angeshindwa? ama amewapa ruhusa au anaona wanayofanya hao watekaji ni sawa.
 
Knowledge is not what is memorized. Knowledge is what benefits. By imam Shafi'i
Mtume Muhammad s.a.w anasema: "Allah will not take away knowledge from His servants, but knowledge will be taken away as the men of knowledge are taken away until there is not a single man of knowledge left. Then people will take ignorant men for their leaders who will be asked something and will give a fatwa (decision) without any knowledge. They will go astray and lead others astray."

Akasema pia Mtume Muhammad s.a.w: "Allah revealed to one of the Prophets, 'Say unto those who study fiqh for a purpose other than the deen and to those who acquire knowledge for a purpose other than that of acting according to it, that they appear before people in sheep's clothing but inwardly are ravening wolves. Their tongues are sweeter than honey, but their hearts are more bitter than colocynth. They act deceitfully against Me and scorn Me. I will confront them with temptations which would confound even the wise."

Swahaba wa Mtume Ibn Mas-oud kasema pia: "The Qur'an was revealed in order that men may direct their lives according to its teaching. But instead you have made it your life work."

Kwa msingi huo, Abou Allah ibn Atta akasema pia: "Knowledge is dependent upon acting on it".

Na kwa msingi huo Imam Shafii akasema: "Knowledge is not what is memorized. Knowledge is what benefits".

Kwa tafsiri nyepesi, umuhimu wa elimu ni manufaa yake, wala siyo vyeti ulivyokusanya. Kwenye kila kauli inayotolewa na maimam ina asili yaani chanzo. Hivyo, ukiona nukuu ya imam yeyote ni vizuri kufuatilia asili ya yeye kutamka hivyo ni nini!

Hicho ndicho kilichokusudiwa kwa nukuu uliyoikoti.
 
Kwenye Usiamu siasa ni sehemu ya dini hata akiongelea miradi ya umwagiliaji kwenye hilo shindano ni sawa tu kwao
Tangu kale dini huwa haitofautishwi na siasa.

Kazi ya Mitume na Manabii ilikuwa kuiongoza jamii. Waliiongoza vipi jamii?!

Jaribu kutafakari mfano kama wa Nabii Musa aliiongoza vipi jamii ya Israel kwa muda wake wote wa uhai aliyokuwa nao?

Suleiman alikuwa ni Nabii na alikuwa ni mfalme. Aliiongoza vipi jamii yake?
 
games up, too little too late, 2025 au kabla tuna raisi mpya …
 
Jamii huwa haitofautiani dini tu inatofautiana mambo mengi sana!

Muhimu ni mtu kustaarabika. Na kustaarabika ni lazima uwe na uvumilivu wa juu ya imani ya watu wengine ndani ya jamii kwani ni lazima kuwe na kutofautiana.
 
Huyo hana utamu tena.
Nilikuwa nakuchukulia kama ni mtu aliyestaarabika na pengine unatafuta namna ya jinsi ya kuielewa jamii na utofauti wake lakini imenisikitisha kuona unaandika kitu cha namna hiyo!
 
Ni nukuu nzuri na inastaajabisha pia.

Tafadhali nisaidie ushahidi juu ya hili ili nami iwe sehemu yangu ya kuongeza elimu.
 
Walivyovaa tu wanatisha kama mapepo mimj mwanangu ukimwambia mwislamu huyo anakuja analia na kuogopa.
Ni Jambo zuri.

Kila mtu ana haki ya kuhofia anachokihofia na kukipenda anachokipenda.
 
Kwa Imani ya kiislamu mnaamini Musa na Suleimani walikuwa manabii

Ukristo hauamini hivyo

Wale walikuwa viongozi wa taifa ambalo lilikuwa na dini moja tu ya kiyahudi ambayo kila myahudi alikuwa mfuasi wa hiyo dini ndio maana dini na siasa zilikuwa hazitenganishwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…