King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Inasikitisha sana ,MAZA yupo kimya watu wanatekwa ,polisi wanamuingiza chaka na matango pori.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukariri hakusaidii kuelewa mfano kuna tofauti ya uelewa kuhusu kuandama kwa mwezi kipindi cha Ramadhani waliokariri wanaamini mwezi ukionekana popote basi hiyo ndio siku ya Idd bila kujali tofauti ya masaaa zilizopo dunuaniUsipokariri au kuihifadhi hiyo biblia utaihifadhi vipi hiyo biblia ibakie kwenye msingi wake uleule?
Sawa!Kwa Imani ya kiislamu mnaamini Musa na Suleimani walikuwa manabii
Ukristo hauamini hivyo
Wale walikuwa viongozi wa taifa ambalo lilikuwa na dini moja tu ya kiyahudi ambayo kila myahudi alikuwa mfuasi wa hiyo dini ndio maana dini na siasa zilikuwa hazitenganishwi
Sawa!Kukariri hakusaidii kuelewa mfano kuna tofauti ya uelewa kuhusu kuandama kwa mwezi kipindi cha Ramadhani waliokariri wanaamini mwezi ukionekana popote basi hiyo ndio siku ya Idd bila kujali tofauti ya masaaa zilizopo dunuani
Wakati waliosoma Kurani na kuelewa hutaka mwezi uonekane katika eneo husika kama Tanzania mfano ukionekana ukanda wa Afrika mashariki ndio wanafungua
Kwa hiyo kukariri kuliko kuelewa kuna shida yake
Hao wote walioimba hizo Quran wategemee hiki hapa chini kuwapata
View: https://x.com/acathleen5/status/1829601278974201860
Hizo ni chuki mind your bussiness dude, hayo ndo furaha na maisha yetu, nyie endeleeni na upinde wenu hamna anae wasame.Badala watu tujenge mahospitali na vyioo vikuu vya kwetu ss tunakwenda kushindana kusoma bibilia, tukiwaambia mnakasirika,
Kwanza unashinda a vipi kusoma bibilia,
Mm nimewahi kuwa mwalimu ktk shule moja hapo mjini moshi vitoto haina akili na hawazingatii masomo kbsa katk Mia unamkuta mmoja ndio mwenye nafuu na hapo ukute baba anamkazania kusoma na tuition za hapa na pale
Mwisho nasema
Vijana walio tekwa na kumshikiliwa na jeshi la police waachie haraka sana bila mashart yoyote, kutekana ni ushamba na uoga
Mbna ndugu zetu waislamu hawana mamb ya mashindano ya kusoma quruan [emoji23]
Hili
Ukisoma kutoka kulia kwenda kushoto utaelewa anamaanisha nini.Mbona umeandika mithili ya zezeta pro!!
Elewa neno Biblia lilivotumika.Mashindano ya kusoma Biblia ni kituko cha mwaka.