Rais Samia akishiriki tamasha la Mashindano ya Kuhifadhi Quran kwa Wanawake

Inasikitisha sana ,MAZA yupo kimya watu wanatekwa ,polisi wanamuingiza chaka na matango pori.
 
Usipokariri au kuihifadhi hiyo biblia utaihifadhi vipi hiyo biblia ibakie kwenye msingi wake uleule?
Kukariri hakusaidii kuelewa mfano kuna tofauti ya uelewa kuhusu kuandama kwa mwezi kipindi cha Ramadhani waliokariri wanaamini mwezi ukionekana popote basi hiyo ndio siku ya Idd bila kujali tofauti ya masaaa zilizopo dunuani

Wakati waliosoma Kurani na kuelewa hutaka mwezi uonekane katika eneo husika kama Tanzania mfano ukionekana ukanda wa Afrika mashariki ndio wanafungua

Kwa hiyo kukariri kuliko kuelewa kuna shida yake
 
Sawa!
 
Sawa!
 
Badala watu tujenge mahospitali na vyioo vikuu vya kwetu ss tunakwenda kushindana kusoma bibilia, tukiwaambia mnakasirika,
Kwanza unashinda a vipi kusoma bibilia,

Mm nimewahi kuwa mwalimu ktk shule moja hapo mjini moshi vitoto haina akili na hawazingatii masomo kbsa katk Mia unamkuta mmoja ndio mwenye nafuu na hapo ukute baba anamkazania kusoma na tuition za hapa na pale

Mwisho nasema

Vijana walio tekwa na kumshikiliwa na jeshi la police waachie haraka sana bila mashart yoyote, kutekana ni ushamba na uoga
Mbna ndugu zetu waislamu hawana mamb ya mashindano ya kusoma quruan 😂

Hili
 
Hizo ni chuki mind your bussiness dude, hayo ndo furaha na maisha yetu, nyie endeleeni na upinde wenu hamna anae wasame.
 
Tija inayopatikana pale uwanja wa Taifa kwenye mashindano ya kusoma Kurani ndio tija hiyo hiyo inapatikana kwenye mashindano ya kusoma Biblia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…