Rais Samia akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa World Innovation Summit for Health 2022, Qatar leo Oktoba 4, 2022

Rais Samia akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa World Innovation Summit for Health 2022, Qatar leo Oktoba 4, 2022

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
1664887248483.png

1664887310151.png

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa World Innovation Summit for Health 2022 Multaqa Centre - Doha Qatar leo tarehe 04 Oktoba, 2022.



Kufahamu ziara nyingine za Rais Soma Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Mar 2021
 
Wakati anaendelea kupuyanga kwenye nchi za wenzake, asisahau bidhaa muhimu nchini kwake kama mchele, maharage, na unga wa mahindi, nk. Havikamatiki kwa sasa. Na hapa sijataja vifaa vya ujenzi na mafuta ya petrol, diesel, nk.

Nimeongea kwa nia njema kabisa. Maana wakiona vijana wake akina Lucas mwashambwa, watanuna.
 
Nimeona picha kwenye mtandao fulani ukimwoneeha Rais samia akihutubia kwenye mkutano wa ubunifu wa Afya huko Doha Qatar...

Saa ngapi rais wetu kaenda huko? Au alihutubu kwa video?

Kama kaenda huko mbona hatuambiwi?
Screenshot_20221004-151047_Instagram Lite.jpg
 
Nimeona picha kwenye mtandao fulani ukimwoneeha Rais samia akihutubia kwenye mkutano wa ubunifu wa Afya huko Doha Qatar...

Alikwenda na waziri wa mahusiano ya kimataifa? Asije baadae kuanza kusema watu hawakufata taratibu!

Tunamuomba Rais apige picha na kila mtu anayemuona anafaa kupiga nae picha ili baadae asije kumalizia hasira kwa wengine!
 
Ukweli ni kwamba hata Ikulu yenyewe inaona aibu kutangaza ziara za nje za Rais kwa sababu zimezidi!

Hivi tunavyozungumza Samia yupo Qatar 🇶🇦 na haipo taarifa yeyote rasmi kutoka Ofisi ya Rais kuujuza Umma kuhusu safari ya nje ya Rais.

Nb: Inakuwaje Rais asafiri kisiri-siri kama siyo kuogopa aibu?!

Ieleweke, Samia wa juzi aliyekuwa U.K na Msumbiji ndiye Samia aliyepo Doha tokea jana.

ikulu_mawasiliano~p~CjSnO93No36~1.jpg
 
Back
Top Bottom