Namuona mke wa Mseven sijui wa KagameSSH haogopi wala hana sababu ya kuogopa kundi fulani la watu. Kama ni safari ambayo ikulu na washauri wake wanaona inayo faida kwa Tanzania hakuna haja hata kidogo ya kuogopa kusafiri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namuona mke wa Mseven sijui wa KagameSSH haogopi wala hana sababu ya kuogopa kundi fulani la watu. Kama ni safari ambayo ikulu na washauri wake wanaona inayo faida kwa Tanzania hakuna haja hata kidogo ya kuogopa kusafiri.
Exactly watu wanamakasiliko sana mama anaenda kuimarisha diplomasia pia kupitia hizi ziara Tanzania tunapata fursa mbali mbaliAibu kichwani kwako wewe uliyeamua kumchukia. Kwetu sisi wengine ni kiongozi wetu mkuu hakuna aibu yoyote.
Alafu kuna watu wanasema kaenda kwa sili sa sijui hii wamepost wapi kama ni siri
kama watanzania .... tuna Nongwa....Kwa hizi safari za Mama Kikwete cha Mtoto.
Mkuu nilimuona kwenye mikutano huko Saudia ila ghafla bin vuu nasikia QatarUkweli ni kwamba hata Ikulu yenyewe inaona aibu kutangaza ziara za nje za Rais kwa sababu zimezidi!
Hivi tunavyozungumza Samia yupo Qatar 🇶🇦 na haipo taarifa yeyote rasmi kutoka Ofisi ya Rais kuujuza Umma kuhusu safari ya nje ya Rais.
Nb: Inakuwaje Rais asafiri kisiri-siri kama siyo kuogopa aibu?!
Ieleweke, Samia wa juzi aliyekuwa U.K na Msumbiji ndiye Samia aliyepo Doha tokea jana.
View attachment 2377011
Kikwete atakua anatoa kijino sahizi km huyo wenu mseme tenaKwa hizi safari za Mama Kikwete cha Mtoto.
Wa m7 yuko kazini wizara yake hiyoNamuona mke wa mseven sijui wa Kagame
Wote Tumepigwa Bumbuazi!!!Kazi ya wizara ya mambo ya nje au balozi zetu nje ya nchi
[emoji16][emoji38][emoji38][emoji16][emoji38]Waja mna maneno!!!NSIPITWE.
😁😁😁😁Rey acha tu[emoji16][emoji38][emoji38][emoji16][emoji38]Waja mna maneno
Sema wewe.ondoa neno sisi maana mimi huyo siyo kiongozi wanguAibu kichwani kwako wewe uliyeamua kumchukia. Kwetu sisi wengine ni kiongozi wetu mkuu hakuna aibu yoyote.
Ya tozoSasa hapo Rais anaenda kufanya inovation gani?
Hakuna cha maendeleo wala nini.Huwezi kusema ingeendelea kwa kutegemea nchi nyingine badala ya wewe mwenyewe.pamoja na hivyo,zanzibar ndiyo mnufaika wa huu muungano uchwara uliokumbatiwa na viongozi uchwara wa ccmZanzibar ingeungana na Oman badala ya Tanganyika, leo Zanzibar ingekuwa na maendeleo na uchumi mzuri sana. Karume aliingia mkenge.
Hakuna cha maendeleo wala nini.Huwezi kusema ingeendelea kwa kutegemea nchi nyingine badala ya wewe mwenyewe.pamoja na hivyo,zanzibar ndiyo mnufaika wa huu muungano uchwara uliokumbatiwa na viongozi uchwara wa ccm