Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Nimeona picha kwenye mtandao fulani ukimwoneeha Rais samia akihutubia kwenye mkutano wa ubunifu wa Afya huko Doha Qatar...
Qatar hapa tu masaa ma5Nimeona picha kwenye mtandao fulani ukimwoneeha Rais samia akihutubia kwenye mkutano wa ubunifu wa Afya huko Doha Qatar...
Saa ngapi rais wetu kaenda huko? Au alihutubu kwa video?
Kama kaenda huko mbona hatuambiwi?
Ni Saudi Arabia not Qatar
Nimeshangaa maana huyu bibi jana tu jioni sana kuna chocho alikua... sasa kwa logistics za urais zilivyo kwamba baada ya kutoka kwa ile chocho alijiandaa na kuondoka saa ngapi kuhudhuria hii halfa? Au ndo kulipua lipua mambo?Qatar hapa tu masaa ma5
Naona ofisi yake itakuwa imezidiwaZuhura yunus amesahau kuandika barua