Rais Samia akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa World Innovation Summit for Health 2022, Qatar leo Oktoba 4, 2022

Aibu kichwani kwako wewe uliyeamua kumchukia. Kwetu sisi wengine ni kiongozi wetu mkuu hakuna aibu yoyote.
 
Nimeona picha kwenye mtandao fulani ukimwoneeha Rais samia akihutubia kwenye mkutano wa ubunifu wa Afya huko Doha Qatar...

Saa ngapi rais wetu kaenda huko? Au alihutubu kwa video?

Kama kaenda huko mbona hatuambiwi?View attachment 2376988
Sorry banah jana nilimuona Saudia sikujua kama ameshaemda huko Qatar ila ndo nimeona now kwenye page ikulu
 
Kwa hizi safari za Mama Kikwete cha Mtoto.
 
Kiguu na njia ila watanzania wabane matumizi huyu hadi 2025 atakuwa amevunja rekodi ya dunia
 
It is a collective responsibility. You have no right to question. Labda kaenda kukagua viwanja vya kombe la dunia. Kwasababu rais wa sura Leon naye alienda kuvkagua japo nchi yake haitacheza.
 
Nimeshangaa maana huyu bibi jana tu jioni sana kuna chocho alikua... sasa kwa logistics za urais zilivyo kwamba baada ya kutoka kwa ile chocho alijiandaa na kuondoka saa ngapi kuhudhuria hii halfa? Au ndo kulipua lipua mambo?
Rais ni Taasisi, haiwezi kulipua mambo.
 
Kama ni siri wewe hizi picha umezitoa wapi na taarifa umetoa wapi acheni mawazo mgando mama anaimarisha diplomasia
 
Nimeshangaa maana huyu bibi jana tu jioni sana kuna chocho alikua... sasa kwa logistics za urais zilivyo kwamba baada ya kutoka kwa ile chocho alijiandaa na kuondoka saa ngapi kuhudhuria hii halfa? Au ndo kulipua lipua mambo?
Kilaitu kimepangwa mzee Rais hawezi kuondoka tu kama wewe unavyoenda kwa mjomba wako na lengo la safari zake zote ni kuimarisha diplomasia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…