Rais Samia akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa World Innovation Summit for Health 2022, Qatar leo Oktoba 4, 2022

SSH haogopi wala hana sababu ya kuogopa kundi fulani la watu. Kama ni safari ambayo ikulu na washauri wake wanaona inayo faida kwa Tanzania hakuna haja hata kidogo ya kuogopa kusafiri.
Namuona mke wa Mseven sijui wa Kagame
 
Rais Samia hajawahi fanya ziara ya hasara,ukiacha ukweli kwamba amealikwa na atahutubia ila kuna fursa pia anazisaka..

Soma hapa πŸ‘‡

Hii kituko ya karne.
Kazi ni tengua,teua,apisha kisha mbio kwa wajomba.
Sijui mawaziri wana kazi gani
 
Mkuu nilimuona kwenye mikutano huko Saudia ila ghafla bin vuu nasikia Qatar
 
Hii handshake huwa anaikwepa sana huku tanzania. Ila akikutana na rangi nyeupe anawapa tu mikono. Kifupi ana mahaba sana na watu wa nje kuliko wa tanzania.

Muangalie hata uso wake akiwa anaongea au anasalimiana na viongozi wenzie wa tanzania kisha muangalie akisalimiana na viongozi wa nje.
 
Nchi iko mikononi mwa RAHABU, wakristo watanielewa!
 
Zanzibar ingeungana na Oman badala ya Tanganyika, leo Zanzibar ingekuwa na maendeleo na uchumi mzuri sana. Karume aliingia mkenge.
 
Zanzibar ingeungana na Oman badala ya Tanganyika, leo Zanzibar ingekuwa na maendeleo na uchumi mzuri sana. Karume aliingia mkenge.
Hakuna cha maendeleo wala nini.Huwezi kusema ingeendelea kwa kutegemea nchi nyingine badala ya wewe mwenyewe.pamoja na hivyo,zanzibar ndiyo mnufaika wa huu muungano uchwara uliokumbatiwa na viongozi uchwara wa ccm
 
Una wivu tu wewe. Fikiria utajiri wa mafuta ya ghuba ungekuja kuwekeza Zanzibar halafu unasema Zanzibar isingeendelea. Haiwezekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…