Rais Samia akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa World Innovation Summit for Health 2022, Qatar leo Oktoba 4, 2022

Utakufa nacho kijiba cha roho
 
Wanga wengi bongo..ukiwapa mikono umeisha..!
 

Video fupi hotuba ya Rais Samia Hassan nchini Qatar 🇶🇦


WISH an initiative founded by Qatar Foundation in 2013, WISH has become a leading global platform where scientists, entrepreneurs and policy makers meet to develop solutions to major health issues facing the world today and explore ways in which innovation can improve these issues for the future.

The mission of WISH is closely aligned to the vision of Her Highness Sheikha Moza bint Nasser, Chairperson of Qatar Foundation, and represents her ongoing commitment to raising the standards of healthcare nationally and internationally.
WISH Agenda - WISH 2022
 
Mwache 'Maza' a-'innovate', sijui ana'innovate' uchawi gani katika maswala ya afya!

Kuna wataalam wangapi kutoka kwenye hiyo wizara wanaoshiriki kwenye mkutano huo.

Msululu anaofuatana nao gharama zake zingetosha na kuzidi gharama ambazo wataalam hao wangezitumia.

Matokeo ya mkutano huo yangeleta manufaa kwa nchi kuliko uwepo wake huko.

Hata hivyo, mbona aliyosema kwenye hiyo hotuba yake hayatolewi ili tuyaone na kuyajadili sisi wananchi?
Ameyasema hayo kwenye mkutano huo kwa manufaa ya nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…