Rais Samia akishiriki Uzinduzi wa Hema la Mwamposa, Julai 5, 2025 Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe

Rubbish. Je kuna huduma ya hospital au shule hapo?
Hapo ni status ya kisiasa ndugu yani hapo huyu kala kwa huyu na huyu kala kwa huyu, so kama wewe hujayapatia kaa kwa kutulia wacha walioyapatia!... ni mambo ya kimfumo tu kama unataka huruma nenda kwa wazazi wako lakini huku nje maisha yana mfumo tofauti kabisa na unavyowaza.
 
Rubbish
 
Toka kwenye hilo shimo babu maisha ni mfumo na sio huruma kama mnataka kubadilisha maisha badilisheni mfumo alasivyo kila siku utaendelea ku komenti hivyohivyo rubbish which is nonsense my friend!.
 
Watanzania wajinga sana, wanauziwa udongo 😀😀😀😀
UNajua kabla hawajaenda pale tuwaulize ivi walishawahi kusikiliza zile shuhuda zinatolewa pale??zile shuhuda mtu anasema eti deni limelipwa kimiujiza deni la bank kabisa 🤔mara sijui umeme ulikuwa hauwaki akaenda pale akaombewa ukawaka!!!
Na zile zingine za mtu kutapika vijiko,kufuli vitasa n.k haya kuna wale sijui amekunya tandu,nge,samaki n.k ivi vitu kuna mtu uwa anathibitisha???
Anyway watajijua
 
Wale wanaojiangusha na mapepo kanisani, huwa ni kweli au ni usanii?
 
Heh! Kwa hiyo hao waumini hawana akili zao!?
 
Kuna mikutano inaendelea huko nje ya nchi haudhurii.
 
Huo utakuwa ni ukumbi siyo kanisa.

Hata siku moja, kanisa halifunguliwi bali huwa linawekwa wakfu au linabarikiwa. Na mambo hayo hayafanywi na viongozi wa kisiasa bali wale tu waliowekwa wakfu.
Duuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…