Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 3,574
- 4,856
NOt really, though she called one time kuomba tuhamishe shule mtoto, i said okay i will think about it,sikutaka kujua why!! Nikaa kimyaa, did nothing.Kukupigia hata kukusalimu?
Wabaguzi wa dini mmechukiaje!!!Wenye akili wamemtenga ndio maana anatafuta matapeli wa kupiga nao picha
Ndio kusema Yesu atakua hana kaz za kufanya akija au? Atavunja mangapi? 😂Yesu akirudi lazima alivunje.
Tena ni mke wa 3 kwa mumewe..! unajisi mtupu! Hakustahili kusimama kuongea pasipo toba kwanza..!anayelifungua tena muislamu, mtu ambaye haamini biblia
Ndio ushamgae hapo. Huo ni ukumbi tu wa biashara mkuu 😂Kanisa halizinduliwi,
Kanisa linawekwa wakfu na kubarikiwa.
Tuna usubiri huo mrejesho.NOt really, though she called one time kuomba tuhamishe shule mtoto, i said okay i will think about it,sikutaka kujua why!! Nikaa kimyaa, did nothing.
She then called again, kulalamika, the girl anashuka sana darasan maendeleo yake, anaomba nimsaidie awe sawa cz anasema ni mimi ndio huwa naweza ku deal nae kwenye aspect hiyo ya shule.
Nikasema okay, i will find a way, the nika sizi.
Juzi anapiga anasema watoto wanataka nije Dar niwapeleke saba saba, na nikaongea nao ofcz, nikawatukia tu hela,then kimyaa.
So kawaida kuwasiliana but mara nyingi, 98% ni watoto hunipigia kunieleza mahitaji ya shule sasa am not sure kama ndio anawatuma au lah, but mimi na stick kwenye my roles ,kuwa support cz are my kids, so regardless anawatuma or not, i just comply ma demand za watoto.
Nitaleta mrejeaho full, nikitulia. Maana nashindwa kujua nianzie wapi kuandika
Hii si maajabu 😄Ndio ushamgae hapo. Huo ni ukumbi tu wa biashara mkuu 😂
ndio. nilikuwa nashangaa kwanini wanafanana.Maboya Dastan au!!?
kanisa la calvary assemblies of God askofu wake ni maboya, hilo kanisa la mwamposa lipo chini ya calvary assemblies of God na leo hii wakati wa uzinduzi Maboya ndio ametambulishwa askofu kiongozi juu ya mwamposa, ndiye aliyetoa neno na ndiye aliyezindua kanisa, yupo hapo hadi sasaivi amevaa magwanda, na amesema wakati wanaanz akanisa lao hilo la calvary walikiuwa na vijana wadogo wengi na mwamposa ni mmoja wapo. hayo ameyasema maboya mwenyewe.maboya anaongoza kanisa la calvary assemblies of God, sio arise and shine
Mimi nilishamalizana na ishu muhimu za mahakam, sijafuata divorce tu, ila yeye ule moto wa mahakama hana tena, i dont know why!.Tuna usubiri huo mrejesho.
Usisahau kuni tag.
Vitu mmeshagawana tayari kama alivyotaka? Au mambo ya mahakamani bado hayajaisha?
Kwann unasema hivyo chief?leo ndio najua hili kanisa lipo chini ya maboya.