Rais Samia akosa imani na Waziri Mashimba Ndaki

Huyo rais Samia asitafute kichochoro cha kuficha udhaifu wake.. kwann yeye asishauri hizo ranch zikasimamiwa kwa mtindo anaoutaka yeye. Kwani waziri mashimba yuko Uruguaya??
 
Kwa sisi wavuvi ziwa Tanganyika kata ya kalya wilaya uvinza tunaomba tupewe engine zetu mlizo zikwapua nakurudishiwa Mali zetu alizochoma magu kimakosa tofauti nahapo nafikiria mm wavuvi wangu nafamilia zetu tuache kuhesabiwa hata kupiga kura marufuku chama changu ccm sinawakumpa kura upinzani sitaki naona tunapuuzwa sehemu alizo haribu mwendazake mmewalipa kama wakina lisu lakini sisi wavuvi masikini mnatudharau noishi kwatabu sana kwa tamaa za mwendazake
 
Na ule mradi wao mpya wa kuvisha heleni mifugo ni sehemu ya kutaka kuibia wafugaji tu.

Sasa heleni inaongeza nini kwa wafugaji na mifugo yao ?

Lile zoezi lao la chapa limeishia wapi ?

Hii wizara ifutwe tu.
Huu wako ni Upuuzi kabisa
 

We ndio huyo Mashimba mwenyewe nini au mchepuko wake? Sio kwa kupanick huko!
 

Kama walipewa hizo nafasi kiana, ni sahihi kabisa wakiondolewa kiaina.
 
Kipindi kile akiwa Zonal Manager shirikani alikua mtu poa Sana, nimekumbuka devotion. Ila hii wizara ina lawama Sana.
😆🤣😆🤣Sio lawama tu,yani huko huko wanakufitini,unapakaziwa tuhuma kibao km huyu mleta mada hapo juu alivotumwa 😆😆 achafue hali ya hewa,kila Dakika anaanzisha uzi mpya kuhusu hii wizara.

mbona kina makamba, mwigulu hasemi lolote wapo wapo tu.
Yaani unajua kabisa kuna mpango ovu,

Hatari sana hii nchi 😆
 
Ujinga, kwani upuuzi anoufanya makamba kwenye mafuta hajauona, mbona hakuna siku alosima kupayuka .

Bei za vifurushi kupanda kiholela mbona hajamsema Nape, tena ndo kwanza kauchuna.

Inatengenezwa fitna kumtoa mtu hapa, haya amlete shamte aiongoze wizara.
 
Wasukuma wanafutwa kwa kufuatana, hapa anatafutiwa gia ya kumwondoa.


Wakimwondoa tu, naweka orodha ya wateule na waandamz wengne wasukuma wanavochomolewa
 
Huo umbea anao rais aliyesema hana imani na ww kwenye kazi. Unatukanwa na nani, ww hata kutukanwa ni kama kupewa sifa za bure.
😆😆😆nyenyenye,Wewe sio luaga mpina kweli?kwani akina makamba,mwigulu ndio wapo smart sana? 🤣.
 
Wasukuma wanafutwa kwa kufuatana, hapa anatafutiwa gia ya kumwondoa.


Wakimwondoa tu, naweka orodha ya wateule na waandamz wengne wasukuma wanavochomolewa
Sidhani issue ni ukabila. Office yoyote ile bila kujali kabila lako. Ukizingua imekula kwako
 
Wanatafutwa wote wenye vinasaba na uncle watoswe na mama wa Kambo!!!

kamba na Mwigu hao hawana DOA sio!!!!

Hao watatolewa Kwa shinikizo la wenyewe Nchi.

Time will tell.
Hasa wakristo ndiyo vita ya huyu bibi
 
Mzee wa watu anafanya kazi nzuri sn, sema mpango uliopo ni waislamu wateuliwe kwenye nafasi nyingi, juzi kaondoa wakuu wa mikoa 8 wakristo akaweka waislamu 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…