Rais Samia akosa imani na Waziri Mashimba Ndaki

Rais Samia akosa imani na Waziri Mashimba Ndaki

Mzee wa watu anafanya kazi nzuri sn, sema mpango uliopo ni waislamu wateuliwe kwenye nafasi nyingi, juzi kaondoa wakuu wa mikoa 8 wakristo akaweka waislamu 6
Sure,lakini acha dunia iende mbele,hakunaga baya likapita salama kwa wanaotenda...watu waliokua wazarendo wanawekwa pembeni,JPM kuondoka kwake ukiongea na watu mitaani wana mashaka makubwa dhidi ya kuondoka kwake
 
Mzee wa watu anafanya kazi nzuri sn, sema mpango uliopo ni waislamu wateuliwe kwenye nafasi nyingi, juzi kaondoa wakuu wa mikoa 8 wakristo akaweka waislamu 6
Mlisema Islam hawajasoma hao unaowalalamikia kawatoa wapi? Huna haya wewe mpaka hapa hujapata.mtu wa kukusapoti kwa kile unachokitaka, fungua uzi wa tuhuma basi

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Kwani ina maana Aweso,nape,makamba, mwigulu wanafanya vizuri sana mpk anawaamini wao tu,wengine asiwaamini.mbona wanaboronga tu na hajawai sema lolote?amuache mashimba yupo smart sana plus utulivu,sio mpigaji hana makelele anajua kazi yake.
Sio unakuta waziri kila siku anakimbizana na mitandao kama Aweso.
 
Ume
Hiyo Wizara inatakiwa ichangie pesa kwenye uchumi wa Nchi hivyo inahitaji watu intelligent kama Bashe ,mwenye exposure na mbunifu..

Hadi Rais Samia kasema hadharani ujue yamemfika shingoni.

Rais atafute watu wenye exposure sio tuu Waziri bali uongozi wote wa juu..

Watu Wana Ranch hata kwenda kujifunza Botswana wameshindwa sasa hao wa kazi gani? Tena Rais kawashangaa yaani mashamba binafsi ya wafugali wanazalisha hadi
Umeongea ukweli mtupu ndugu yangu katika Hilo Inatakiwa Waziri ajitafakari na abadilike kwa kuanza kufanya kazi kwa bidii na kujituma, aweke mikakati mizuri na watendaji katika wizara yake ili wizara ilete tija kwa nchi na wananchi, Wizara hii Ni mhimu Sana katika uchumi wa nchi yetu ukipata wachapa kazi na wabunifu Kama Mh Hussein Bashe
 
Sure,lakini acha dunia iende mbele,hakunaga baya likapita salama kwa wanaotenda...watu waliokua wazarendo wanawekwa pembeni,JPM kuondoka kwake ukiongea na watu mitaani wana mashaka makubwa dhidi ya kuondoka kwake
Muda wao utaisha
 
Kiaina ndiyo kitu gani?na ilivyo sahihi unayoijua wewe ndiyo kitu gani

Ww ndio umesema watu wa kanda fulani wanaondolewa kiana, hivyo ww ndio utuambie kiana ni mdudu gani.
 
Ume

Umeongea ukweli mtupu ndugu yangu katika Hilo Inatakiwa Waziri ajitafakari na abadilike kwa kuanza kufanya kazi kwa bidii na kujituma, aweke mikakati mizuri na watendaji katika wizara yake ili wizara ilete tija kwa nchi na wananchi, Wizara hii Ni mhimu Sana katika uchumi wa nchi yetu ukipata wachapa kazi na wabunifu Kama Mh Hussein Bashe
Ni ngumu Sana kubadilika kama amekulia kwenye mfumo wa utumishi wa Umma,sio tuu Waziri bali na watendaji wakuu WA wizara..

Ndio maana ushauri Wangu Bora ije safu mpya wao waende kwenye kazi za kiutumishi walikoxoea..

Hapo wanahitajika watu Wenye guts za ujarisiamali na exposure.Wizara hiyo ni ya kuleta pesa sio kujiendesha Kwa bajeti ya serikali.
 
Wewe jamaa tunakuona unavohangaika huu ni uzi wa tatu umeuandika leo tu,kuhusu waziri mashimba.
Tunakuuliza una nini naye?

Au kuna mtu amekutuma umchafue?
Au ww unataka ndio upewe hio nafasi?
Au wewe ni muathirika wa utendaji wake? Au kuna mahali umenyimwa fursa huko kwenye uvuvi?

Acheni chuki binafsi nyie? mashimba ni waziri makini sana,mchapa kazi ndio maana Magufuli alimuona akampa wizara na mama akamuamini

Acheni majungu,acha mtu afanye kazi yake.
Ungesoma vizuri ungeelewa hakuna mtu anamchafua mtu hapa ila wewe ndio unafanya Propaganda za kizamani Rais Samia amesema amempa onyo la mwisho kwa kushindwa kusimamia majukumu ya wizara sasa huu uzi una shida gani.

Huo uchapazi wa Mashimba unaozungumza wewe ni upi? kama Rais mwenyewe aliyemteua anatangaza hadharani kwamba hatekelezi majukumu yake una maana gani kusema hivyo.

Wafugaji wanauana kila leo yeye yupi, samaki ziwa victoria zimekwisha yeye yupo kwa kushindwa tu kulinda rasilimali zetu alafu unakuja kinafiki hapa kwamba watu wanamchafua.

Huwezi kulitumia jina la Magufuli kama kichaka cha kuficha uovu, uzembe na kutowajibika kwa kisingizio aliaminiwa na Magufuli kwani Magufuli huyo huyo watu wangapi aliwatumbua aliowateua yeye mwenyewe baada ya kuona hawawajibiki.
 
Wasukuma wanafutwa kwa kufuatana, hapa anatafutiwa gia ya kumwondoa.

Wakimwondoa tu, naweka orodha ya wateule na waandamz wengne wasukuma wanavochomolewa
Huu nao ni ujinga yani mtu asiyewajibika asichukuliwe hatua kwa kisingizio cha wasukuma kwani Magufuli mwenyewe aliwawajibisha wasukuma wangapi kwenye utawala wake umesahau ya Kitwanga? Makonda? acha siasa za kikabila haziwezi kukusaidia chochote ukweli utabaki kuwa ukweli hao kina Makamba na Nape wanaolaumiwa na wananchi kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao nao ni Wasukuma?
 
Ungesoma vizuri ungeelewa hakuna mtu anamchafua mtu hapa ila wewe ndio unafanya Propaganda za kizamani Rais Samia amesema amempa onyo la mwisho kwa kushindwa kusimamia majukumu ya wizara sasa huu uzi una shida gani.

Huo uchapazi wa Mashimba unaozungumza wewe ni upi? kama Rais mwenyewe aliyemteua anatangaza hadharani kwamba hatekelezi majukumu yake una maana gani kusema hivyo.

Wafugaji wanauana kila leo yeye yupi, samaki ziwa victoria zimekwisha yeye yupo kwa kushindwa tu kulinda rasilimali zetu alafu unakuja kinafiki hapa kwamba watu wanamchafua.

Huwezi kulitumia jina la Magufuli kama kichaka cha kuficha uovu, uzembe na kutowajibika kwa kisingizio aliaminiwa na Magufuli kwani Magufuli huyo huyo watu wangapi aliwatumbua aliowateua yeye mwenyewe baada ya kuona hawawajibiki.
Kwa hio wewe ndio unapambana ili upewe huo uwaziri?

wewe itakua unataka hio nafasi sio bure.khaaa!..🥺unahangaika mnooo

Kwa maana umekomaa nae unaanzisha uzi kila wakati humu na hii Id yako mpya.👁️

Kama kitu Mungu hajakupangia fanya mambo mengine,fitina na hujuma hazifai jamani😏

Kwani wewe Shida yako hasa ni nini?
 
Acha ujinga tumia akili hakuna anayetaka cheo cha mtu anayetoa uongozi ni Mwenyezi Mungu na sio wewe yaani tusindwe kumuunga mkono Mhe Rais aliyeonyesha kutoridhishwa na utendaji kazi wa Mashimba wewe unaleta mzaha
 
Hata mimi namkubali sn huyo faza kinachomtesa ni dini yake
Acheni siasa za udini anahojiwa na Mhe Rais kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake sio kwa sababu ya dini yake kama watu wanakwambia samaki wameisha Ziwa Victoria kwa sababu ameshindwa kudhibiti uvuvi haramu na leo bei ya samaki haishikiki, watu wanauana kila siku kwa migogoro ya wakulima na wafugaji wewe unaleta upuuzi wa udini?
 
Ww ndio umesema watu wa kanda fulani wanaondolewa kiana, hivyo ww ndio utuambie kiana ni mdudu gani.
Kanda haiwezi kutumika kuficha uzembe wa kiongozi eti kisingizio ametoka kanda ya ziwa
 
😆🤣😆🤣Sio lawama tu,yani huko huko wanakufitini,unapakaziwa tuhuma kibao km huyu mleta mada hapo juu alivotumwa 😆😆 achafue hali ya hewa,kila Dakika anaanzisha uzi mpya kuhusu hii wizara.

mbona kina makamba, mwigulu hasemi lolote wapo wapo tu.
Yaani unajua kabisa kuna mpango ovu,

Hatari sana hii nchi 😆
Hakuna anayemfitini mtu wewe ndio unafanya fitna kama Rais amekwambia amempa onyo la mwisho wewe ni nani kupinga?
 
Na ule mradi wao mpya wa kuvisha heleni mifugo ni sehemu ya kutaka kuibia wafugaji tu.

Sasa heleni inaongeza nini kwa wafugaji na mifugo yao ?

Lile zoezi lao la chapa limeishia wapi ?

Hii wizara ifutwe tu.

Umeandika mambo yanayoeleweka, Mashimba analetewa mradi wa mabilioni wa kuvalisha hereni ng'ombe badala ya kuwa na mpango mzuri wa kupatia madawa na malisho mazuri ya mifugo ili tuweze kuwa na nyama bora kuuza kimataifa wao wanaleta hereni kwa sababu wanajua ni dili la mtu
 
Back
Top Bottom