Rais Samia akosa imani na Waziri Mashimba Ndaki

Mpuuzi mwenyewe, Makamba umeme unakatika kila saa, mafuta yapo juu na vitu vingine mbona hatuoni akihojiwa?
 
Mmeanza kuwasagia kunguni..anyway hiyo wizara aliiweza luhaga mpina..sa100 amrudishe hapo...ila sijui kama watakaa meza moja kwenye kikao cha baraza na yule kipara.

#MaendeleoHayanaChama
Kwani wanashida na kipara? Labda msomari kwa alivyo muandama na mbolea, Lakini watakua wamesha ya maliza.
 
Acha ujinga tumia akili hakuna anayetaka cheo cha mtu anayetoa uongozi ni Mwenyezi Mungu na sio wewe yaani tusindwe kumuunga mkono Mhe Rais aliyeonyesha kutoridhishwa na utendaji kazi wa Mashimba wewe unaleta mzaha
Mbona kama wewe ndie unaehaingaika zaidi kuliko hata Rais mwenyewe,tuliza wenge wewe
 
Kuhusu migogoro ya wakulima na wafugaji, wafugaji ni wavamizi wa maeneo ya wakulima kutokana na kuhamahama kutafuta malisho ya mifugo yao. Wafugugaji wadhibitiwe kwenye maeneo yao ya kuchungia
 
Nafasi imetafutwa mpk imepatikana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Serikalini hizi nafasi fitna ni nyingi sana

Hongera sana Waziri mpya wa Mifugo,umeitafuta sana hio nafasi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

World Vision kama sikosei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…