Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

Ni kwa kima Cha chini tu, hivi ni kweli hamuelewi?
 
Labda wamegundua wakiweka kimya kama enzi za JK mtavuta mkwanja muendelee kudai.
Hata wasingetangaza kupanda kwa bei za vitu kunategemea factor nyingi Sana si ongezeko la mshahara tu.
 
like upo sahihi zile category za PAYE zinauwa wajuu mbaya kwa hiyo watakupa huku saa hiyo hiyo anakunyang"anya kwenye PAYE...ni sawasawa na kufutiwa na mashitaka halafu unakamatwa hapohapo kwa mashitaka hayohayo na nyiongeza yake
 
Haiwezi ikawa hivyo mkuu - hilo ni ongezeko la jumla na ndio maana inahitajika kujua mtu anafall kweye tax band gani ili kuwa na specific % increase, although wa chini watapata ongezeko kubwa mana kodi ni ndogo... Ngoja tupate jedwali la kodi na jinsi walivyoainisha kwanza, ni mapema kucalculate hivyo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo kuna watu humu hata maana ya asilimia 23% hamjui ni vichwa panzi mnashangilia tu kama mazuzu! Serikali imepandisha kwa wale wanaopata kima cha chini kwa asilimia 23% Ila kwa wengine haijaweka wazi! Hesabu ni mhimu sana maishani!
Soma vizuri barua uelewe panzi wewe
 
Nasubiria mapovu na CHUKI kutoka kwa watu wasiokuwa Watumishi[emoji1][emoji1][emoji1]
Hongereni watumwa wa serikali ila mkumbuke izo ni hela za kukusaidia kukabilia na ugumu wa maisha sio mwende kununulia magari halafu mwanze tena kuisumbua serikali ya sisiemu
 
Hujui hesabu
 
Mm nilipitia pia twitter kuona ikulu walichopost ndio nikawaelewa vizuri
View attachment 2224293

Mbona hata kwenye barua ya ikulu iliyowekwa hapa imeeleza hayo hayo niliyoyaandika hapa?

Haya hivyo lengo langu halijujikita sana kuwa nani Yuko sahihi na nani hayuko sahihi, la hasha. Tatizo langu ilikua kuwaita wengine hawana akili, mbaya zaidi ukawalenga waalimu.
 
Tusaidie wewe mwenzetu mwenye elimu, hilo ongezeko la 23% maana yake nini
 
Miaka sita ya JPM bila nyongeza ya mishahara ilikuwa unpopular action ya mwamba, he was wrong kutoongeza wafanyakazi mishahara kwa mda mrefu kiasi hicho wakati maisha yanazidi kuwa magumu.

Kwa hili mh. Rais apongezwe sana, hata sisi ambao hatupo serikalini tutaona impact yake positively.

23.3% siamini kama yaweza kuwa flat rate hasa ukisoma maelezo ya Bi. Zuhura, ila kutakuwa na rate ya nyongeza(hapa hawajaweka wazi)
 
Kuna watu tangu wanze kazi hawajawahi kuongezwa mshahara nao wanabisha kwenye huu Uzi yaani kusubiri waelezwe hata hawataki.
 
Wee zuzu, kwahiyo kima cha chini cha mtumishi wa umma ni 760000?
Nwalimu bwana!
Wewe bila shaka ndo wale maticha fulani maneno maneno tuu
 
Kima cha chini hakitozwi kodi mkuu.
 
Maelezo yanasema kima cha Chini,, ina maana wale wanaolipwa kima cha chini ndio wameongezewa hizo asilimia au ni watumishi wote wa umma..???

Be that as it may,, Nitoe pongezi kwa Mama...
 
Tusaidie wewe mwenzetu mwenye elimu, hilo ongezeko la 23% maana yake nini

Yaani kima cha chini kinapoongezeka kwa asilimia 23 maana yake wewe piga hesabu kwenye basic salary yako itaongezeka 23% na mwajiriwa mpya atakuta kiwango cha kuanzia kimepanda au haujaelewa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…