Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

The increament is between 9% and 23.3%...

Defenetely, YES, it's not flat rate...

Pamoja na hayo, siyo haba hii...

Mathalani mtu mwenye BS ya 3,000,000 ukimwekea 9% maana yake ni almost TZS 300,000...

Hii siyo ndogo, ni kubwa...
 
Hebu nisaidieni kwa mnaojua kukokotoa hizo asilimia. Kwa mfano mwenye basic salary ya 940, 000/= hiyo aailimia 23 ndio inakuwa sh. ngapi?
Basic salary yako itakuwa hivi.
940,000 + (940,000 x 23.3%) = 1,159,020

Kutokea hapo sasa utakata
NHIF
PSSF
CWT/ TALGWU etc
PAYE nk

Mfano hai sasa.
BASIC SALARY ... 1,159,020
PSSF 5% (57,951)
INCOME TAX (128,000 + (101,069 Γ— 30%)) = (158,320.7)
NHIF 4% ..............
TALGWU/CWT 5% ..............

HAPO UTAONA JINSI MSHAHARA UTAVYOKATWA PAKUBWA ZAIDI.

NB nimeashume tu haudaiwi HESLB, BENKI wala SACCOS yoyote. Na hizo % za NHIF na CWT na vyama vya wafanayakazi sina uhakika kama zinafanana.

Utajionea mwenyewe jinsi hiyo 23.3% itakavyoenda kukupasua.
 
Hapo umezungumzia chumi mbili tofauti.

Ile ya serikali kuwa na pesa na ile ya wananchi kuwa na pesa.

Ni jambo la kuamua.

Tofauti ya Samia na Magufuli ndio hii.

Samia ameamua kuwapa pesa wananchi na Magufuli yeye aliamua Serikali ndio iwe na pesa.

Sada hapo kila chumi ina faida na hasara.

Lakini mwisho wa siku mwananchi anapaswa kunufaika na serikali pia kufanya mambo ya maendeleo hilo lazima liwe balanced.
 
Huu uzi umejaa bla bla na mabishano yenye chuki ndani yake hasa team ajira vs team isyo na ajira

Acheni maneno mengi wekeni mahesabu hapa jukwaani tuone kiasi cha pesa kitakachoongezeka!!
 
The increament is between 9% and 23.3%...

Defenetely, YES, it's not flat rate...

Pamoja na hayo, siyo haba hii...

Mathalani mtu mwenye BS ya 3,000,000 ukimwekea 9% maana yake ni almost TZS 300,000...

Hii siyo ndogo, ni kubwa...
Kabisa mkuu!
Asante kwa ufafanuzi.
 
Nashangaa mijitu inashangilia. Inamaana kuwa wale wenye mishahara ya laki mbili wataongezewa hiyo asilimia ila wenye mishahara mingine hakuna nyongeza
Usichoelewa nn Ngumbaru mwenzangu? Akili nzito Kama uji!
 
Nadhani watu wanaopashwa kutoa maoni yao ni wale wanaopata kima cha chini cha mshahara maana ndiyo waliopata nyongeza hiyo kwa 23.3%. Bahati mbaya sijui kima cha chini ni kiasi gani ila kwa anayepokea shs 400,000 nyongeza itakuwa ni shs 93,200.
 
Sio kweli! % inapungua kila unapopanda juu, usije shangaa kule juu wanaambulia 5% ambayo inaweza kuwa huo mshahara wako baada ya nyongeza ya hiyo 23.3%[emoji41][emoji41]
 
The increament is between 9% and 23.3%...

Defenetely, YES, it's not flat rate...

Pamoja na hayo, siyo haba hii...

Mathalani mtu mwenye BS ya 3,000,000 ukimwekea 9% maana yake ni almost TZS 300,000...

Hii siyo ndogo, ni kubwa...
Uko sawa ila hukukumbuka makato na tax kwenye hiyo 300,000
 
Mwaka jana waliongeza kima cha chini kutoka 170,000/= mpaka 270,000/= lakini wale wa juu hatukuguswa.
Hawakuongeza mshahara mwaka jana, walichofanya wao ni kusogeza kiwango ambacho unatakiwa kulipa KODI.

Kama huelewi kwanini usiulize kuliko unaandika MASHUDU??

YAAN MWAKA 2020 KODI ILIKUWA INAANZA KUKATWA KWA WATU WENYE MSHAHARA WA 170,000 sasa SERIKALI IKAONA HAO WALIOPO HAPO SASA HAWATOLIPA KODI YOYOTE.

IKUMBUKWE ISHU YA KODI NI YA SEKTA ZOTE BINAFSI NA SERIKALI.
 
Mimi nadhani pia JPM aliwaangalia sana watuwa chini(sio waajiriwa) aliwapa uhuru mkubwa sana katika kutafuta riziki zao, hadi kufikia kuamua wao wafanye biashara popote, na hili lilifanya mtu wa chini asilalamike, tofauti na mfanykazi ambaye mda wote kipindi cha JPM alikuwa haishi kulalama.
 
Sio kweli! % inapungua kila unapopanda juu, usije shangaa kule juu wanaambulia 5% ambayo inaweza kuwa huo mshahara wako baada ya nyongeza ya hiyo 23.3%[emoji41][emoji41]
Mshahara unapanda mkuu, unachoona wewe kupungua ni kutokana na KODI. ILA BASIC YAKO LAZIMA ISOME NYONGEZA YA 23.3%
 
Hebu nisaidieni kwa mnaojua kukokotoa hizo asilimia. Kwa mfano mwenye basic salary ya 940, 000/= hiyo aailimia 23 ndio inakuwa sh. ngapi?
Hadi sasa najiuliza mlikuwaje watumishi ikiwa kusoma na kuelewa hamuwezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…