Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

Nahis hii sio kwa watumishi wote bali watakao guswa ni wale wa mshahara wa chinu kabisa
 
Hakuna utaratibu kama huo kwenye kupandisha mishahara !!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Yaap hii ndio formula ya calculation, hasa ili kumuinua mwenye kima cha chini zaidi kuliko wa juu yake
 
Huyo ni mtumishi wa Kanisa.
 

Hii 23.3% kwa kima cha chini cha mshahara kwa Watumishi wa Umma? Ina maana gani hasa? Msishangilie kwa hili​

Ache ku comment kama huna uwezo wa kuelewa.
Siku zote mshahara huogezwa kwa kutaja kima cha chini lakini ngaxi zingine pia zinaongezeka

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
 
wewe ni mbulula nenda kalale, huna akili, umeshaona wapi kitu kama hicho??? nikukumbushe tuu wee mbuzi kikwete 2015 Daraja D alilitoa toka 630,000/ hadi 716,000/= je hawa walikuwa kima cha chini??? nyioko

Sent from my M2103K19G using JamiiForums mobile app
 
wewe umeongea ukweli mtupu! ndivyo ilivyo.

Sent from my M2103K19G using JamiiForums mobile app
 
Mzee nenda taratibu, binadamu sisi hatujakamilika.Kwa hiyo tumvumilie maana muda bado anao wa kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…