Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

Ww unajua sheria zaidi ya serikali? Au ww unajua kugundua makosa kuliko serikali?
Wewe kiazi kichwa changu sijakikabidhi kwa serikali kama wewe, hebu tushangilie kima cha chini kimeongezeka.
 
Hapa kwa kima cha chini ni 23. Ila kwa waliovuka kima cha chini wamepugiwa hesabu zingine.
Yaani 1.9 trillion iwe imeongezwa kwa waliokuwa wanalipwa laki 3 kamili tu inakuja?
 
Mm ni mtumishi mzee, kwa taarifa yako hata walipopunguza kodi kuwa 8% effect unaiona kwenye mshahara wako. Kama mtumishi hukuona kuna nyongeza ya elfu kadhaa ya pesa imeongezeka kwako??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…