MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Hii 23.3% kwa kima cha chini cha mshahara kwa Watumishi wa Umma? Ina maana gani hasa? Msishangilie kwa hili
Naona kama iko clear
1. Nyongeza ya mshahara
2. Kima cha chini
Lakini ngoja tuone.... maana maCCM kwa uongo yanaongoza