DINHO
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 880
- 1,750
Hao wajingaKwamba kwa mfano aliekua anapokea 200,000 sasa atapokea 280,000 JE ALIYEKUA ANAPOKEA 280,000 ataendelea kupokea 280,000 ?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wajingaKwamba kwa mfano aliekua anapokea 200,000 sasa atapokea 280,000 JE ALIYEKUA ANAPOKEA 280,000 ataendelea kupokea 280,000 ?!
Ni kwasababu tu ya ubinafsi wake,na roho mbaya. Hakuna mtu haitaji masilahi juu ya shughuli yake anayoifanya.Waajiriwa 1,000,000 v/s watanzania 59mil waliopo katika mfumo usio rasmi,na ambao kilio chao hawafahamu pa kukipeleka.
•Magu aliangalia sana hapa!
Hii ni post ya ikulu, wameweka wazi ili baadae msianze kulalamaMshahara kadiri unavyopanda na KODI huwa kubwa lazima mtambue hilo.
Hivyo hiyo nyongeza ni flat rate kwa wote ila sasa utaona umeopata % chache kutokana na nyongeza ya makato ya kodi ambayo hutokea kutokana na viwango vya mshahara.
Sio kwamba 23.3% inaenda kuongeza kwenye take home yako NOOOOO. Inaenda kusogeza Basic Salary yako, kisha Kodi inafuata na hapa lazima muelewe kodi inatofautiana kati ya kiwango cha mshahara mmoja na wingine.
Mwaka mmoja lakini ameweza kuongeza asilimia 23.3. Naona maisha bora kwa wafanyakazi yanakuja…Tumpe muda Mama!Ni kwa walio kima Cha chini (270k)
Sibishani na watoto waliotokana na mitongozo ya BAR mimi. Nshakuambia toka mwanzo kuwa bora Babako angepiga NYETO.Soma vizuri hii statement ya ikulu
View attachment 2224270
IsksTunakamuana ili kulipana mishahara tu.
Miradi ya maendeleo imelala huko.
Watu tunawaza kula tu.
Kima Cha juu hawana shida Sana hata wakiongezwa kwa asilimia 10 tu Hilo ni ongezeko kubwa sana!! Mfano: Anayepata mshahara wa 350,000/= atapata nyongeza ya 81,550/= akiongezewa asilimia 23.3. Lakini Anayepata mshahara wa 3,500,000/= atapata nyongeza ya 350,000/= akiongezewa asilimia 10.Na kima cha juu ongezeko shs ngapi
Tatizo kuna watu humu hata maana ya asilimia 23% hamjui ni vichwa panzi mnashangilia tu kama mazuzu! Serikali imepandisha kwa wale wanaopata kima cha chini kwa asilimia 23% Ila kwa wengine haijaweka wazi! Hesabu ni mhimu sana maishani!Kwamba kwa mfano aliekua anapokea 200,000 sasa atapokea 280,000 JE ALIYEKUA ANAPOKEA 280,000 ataendelea kupokea 280,000 ?!
Sio haba nduguMateso yako palepale
Mwendazake kima cha juu aliweka ongezeko shs ngapi? Nenda kaweke mashada ya maua.Na kima cha juu ongezeko shs ngapi
Wakiongeza kwenye hizo AGGREGATE BUDGET, hapo sasa kwenye kugawana inategemea utaongezewa Tsh ngapi, kuna wengine watapata nyongeza hadi ya Tsh elfu moja moja [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kweli kabisa hapo inahitaji ufafanuzi..
Itakua sio nyongeza ya mshahara bali nyongeza ya kima cha chiini kwa mshahara wa serikali na sekta binafsi nchini.