Kwa bahati mbaya sana Uongozi wa juu kabisa wa nchi hii umehodhiwa na dhehebu(catholic) na dini hiyo, (Muslim) for over sixty years now wao ndio wamekuwa wakishika all the prominent positions in this country. Unaweza usiamini ila ndio ukweli. Hivyo wakikutana wanaelewana maana hao ndio watawala halisi nchi hii.
Afanye nini mridhike? Hayo makundi mengine yalimuomba wakutane?
moghasa, BW Mkapa aliposema Watanzania wengi ni wapumbavu alimaaminisha watu kama wewe. Mimi nimekupa fact ambayo wewe huijui na bado unabisha.No wonder B.Mkapa alisema watanzania wengi ni wapumbavu na malofa, you made me believe this statement! Hii kahawa umeinywa wapi bwashee! Au unataka kutuaminisha kuwa unajua interijensia! Unapotoa allegation kubwa kama hili toa na chanzo cha habari yako. Yaani unaongea utadhani wewe ni Nyaisonga mwenyewe.
Usimpangie rais nini Cha kufanya, kweli tz ipo na madhehebu mengi ila si yote yanamwabudu Mungu? So akikutana na dhehebu moja katika kuwakilisha mengine shida ipo wapi acha uchocheziKitendo Cha Rais Samia kukutana na viongozi wa kanisa katoliki pekee ni cha kibaguzi sana Rais anahubiri haki huku akijua kuwa tabia aliyoianzisha ya kuwagawa Watanzania kwa imani ya Dini zao si cha kiungwana Tanzania ina madhehebu mengi sana kwa nn ukutane na dhehebu moja tu uyaache mengine huo sio ubaguzi? najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana
Yes kodi ipunguzweeeee😀😀Inaongeza nguvu za kiume?Ze ploblemu ov zi neshon😝😝😝😝
Yaani wewe hata ujifichefiche unajulikana mapemaaa. Akili zako hazina uwezo wa kutengeneza cover hata ya majani. Ukiharisha tu anayepita anajua hapa kanya Nani!Kitendo Cha Rais Samia kukutana na viongozi wa kanisa katoliki pekee ni cha kibaguzi sana Rais anahubiri haki huku akijua kuwa tabia aliyoianzisha ya kuwagawa Watanzania kwa imani ya Dini zao si cha kiungwana Tanzania ina madhehebu mengi sana kwa nn ukutane na dhehebu moja tu uyaache mengine huo sio ubaguzi? najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana
HuyoHuyo mleta mada ni Musiba
Inamaana kumbe Hata Yesu alipitishwa Left na Ibilisi? maana alikuwa pia na mzozo wa kimaslahi na wafia dini dizaini hii ya Katoliki, kumbuka biashara hekaluni.Ndio maana ibilisi akapita naye
Usipokula chakula kama dawa basi utakula dawa kama chakula.Yeah ni sawa mkuu, kila jamii ina vipaumbele vyake. Wasikilizwe...
Juice ya tende inapendwa na wengi na ni nzuri kwa afya
Yupo kajifungia nyumbani kwake mara baada ya mfadhili wake kufariki hana tena jeuri ya kutukana watuHivi hii takataka muraga iko wapi siku hizi??
Na ndo ukweli kwenye hotuba yake alisema kupokea mwaliko huoWhat kama ni RC wenyewe ndio waliomba kukutana na Rais?!
Jitu jinga sana hili na bado naamini lazima mkono wa sheria utamfikia tu maana maneno yake ni ushahidi tosha
Mimi nilivyoona anakutana na Catholic leaders akilini kwangu ikanijia kuna siku nyingine hapo mbele atakutana na Waislamu.Kitendo Cha Rais Samia kukutana na viongozi wa kanisa katoliki pekee ni cha kibaguzi sana Rais anahubiri haki huku akijua kuwa tabia aliyoianzisha ya kuwagawa Watanzania kwa imani ya Dini zao si cha kiungwana Tanzania ina madhehebu mengi sana kwa nn ukutane na dhehebu moja tu uyaache mengine huo sio ubaguzi? najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana
Kama ni biashara lazima walipie kodi"Linatengeneza fedha"; kiasi gani unajuwa?
Ungependa lianzishe huduma hizo kwa upi ambao si wa kibiashara?
Kama ni "CHUMA" mbona kimepigwa mweleka na Covid19?!! Na sasaivi Chuma kishaliwa na kutu ardhini,Wamuache kiumbe wa mwenyezi Mungu apumzike kwa amani, alivyokuwa hai mbona wote waliufyata....kile chuma hapa ndio nakikubali, undava undava...sasa hivi wapumbavu wananyanyua midomo na wengine kufikia kiasi cha kutaka kuanza kumsumbua mama.... RIP Magu....(mwenyezi Mungu msamehe huyu mzee kila ovu lake na umpe pumziko la amani milele)...
Nilipingana na kile chuma kwenye mitazamo fulani fulani, ila kuna mafala aliwanyoosha....eti leo nao wanavimba vifua kwa mama...jamaa alikuwa akiongea watu wote kimya kasoro kigogo tu...yaani kama mwamba basi ni kigogo peke yake...wengine wote mafala tu..bora mkae kimya tu, maana kama kudai haki mngeidai kipindi kile tuone kweli mnadai haki...
ExactlyNaunga mkono hoja ,, lilipe kodi kwani huduma linazotoa halitoi bure, wananchi wanalipia tena hela nyingi tu. Labda waombe kupunguziwa lakini siyo kuondolewa.
Nilikuwa nakerwa sana na hii kali yake!Msemakweli ni mpenzi wa Mungu..
Lazima niwaambie ukweli ndugu zangu..