Kwa bahati mbaya sana Uongozi wa juu kabisa wa nchi hii umehodhiwa na dhehebu(catholic) na dini hiyo, (Muslim) for over sixty years now wao ndio wamekuwa wakishika all the prominent positions in this country. Unaweza usiamini ila ndio ukweli. Hivyo wakikutana wanaelewana maana hao ndio watawala halisi nchi hii.
Kwa mwendazake uliyoyaandika yalikumbukwa?