Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
YESU KRISTO alisema, "Shetani ndiye baba ya uongo"Ushetani wake ni upi? na unatumia kipimo gani kupima ushetani wa kanisa kupitia mafundisho yake?
Alafu wewe ni muumini wa dhehebu gani ??
Mama aache kutafuta huruma za kisiasa kwa hao wakatoliki,wanafanya biashara walipe kodi
Mimi siandiki ili kubishana, bali naandika ili niwasaidie wale wanaotaka kuijua KWELI ili hiyo KWELI iwaweke HURU.Tatizo la waumini wa madhehebu madogo kama yako hata kielimu uelewa wenu ni mdogo.Haujui hata aina ya vitabu vya kibiblia Haujui hata mazingira ya uandishi wake ila unajikuta unaijua Biblia kindaki ndaki [emoji23][emoji23][emoji23] Elimu elimu elimu
Kama huwezi kutofautisha kati ya Vatican na Rome basi uelewa wako wa Biblia na vifungu ulivyovinukuu hapa ni mdogo sana. Soma Basic theology na basic philosophy ndiyo utajua maana ya hayo maandiko.Wewe naye umelevywa na mvinyo ya huyo KAHABA.
Hivi hujui kuwa Vatican City ipo ndani ya Roma? (Roma Kiswahili, Rome Kiingereza)
Hebu soma hapa:
Vatican City State (Italian: Stato della Città del Vaticano;[e] Latin: Status Civitatis Vaticanae),[f][g] is an independent city state and enclave located within Rome, Italy
YESU KRISTO alisema, "Shetani ndiye baba ya uongo"
Sasa kama hujui basi fahamu kwamba kanisa katoliki linafundisha mambo ya "uongo". Kanisa hili lipo chini ya kivuli cha kuhubiri injili lakini injili inayohubiriwa ni ile ya uongo yenye lengo la kuwapotosha wanadamu na kuwafanya watumwa wa shetani.
Hili ni kanisa linaloongozwa na Ibilisi mwenyewe.
Ndugu, itafute KWELI na hiyo KWELI itakuweka huru. Soma Ufunuo 18:4-5
Ndio maana nikasema elimu ni muhimu sana hata katika masuala ya kiimani.Kwa hiyo wewe unahisi unaijua Biblia na maandiko kuliko Padre aliyesomea Falsafa ya Biblia kwa miaka zaidi ya 10 tena kwa uongozi wa roho mtakatifu? Kweli itakayokuweka huru ni kuijua dhambi na kuikimbia wala haihusiani na kanisa katoliki.Wewe unawafahamu watakatifu wakatoliki? Unafahamu historia ya wafiadini? Mt. Stefano? Mt. Karoli Lwanga na mashahidi wa Uganda? Jibu ni huwajui [emoji23][emoji23][emoji23] Uko busy na ufunuo wa Elen G White na kununua maji ya upako!Mimi siandiki ili kubishana, bali naandika ili niwasaidie wale wanaotaka kuijua KWELI ili hiyo KWELI iwaweke HURU.
Wewe huyajui "Maandiko". Udogo wa kanisa siyo hoja. Hata YESU KRISTO alisema "kundi lake litakuwa dogo".
Endelea kudanganywa na kulevywa na mvinyo ya huyo KAHABA.
Soma Ufunuo 17:8
Kanisa katoliki ndilo kanisa linaloongoza duniani kuua watakatifu wa MUNGU. Soma historia ya utawala wa Rumi na utaona jinsi kanisa lilivyoua maelfu ya watu waliokuwa wanaishika INJILI ya KWELI.
Umeandika vyema kabisa!Injili ya kweli ni ile inayohubiriwa na wanaofufua watu hewa,wanaowafanya waumini wajihisi matajiri bila kufanya kazi eti wasubiri muujiza wa Mungu,wanaowauzia watu Maji ya Chupa za Bharesa kwa shilingi 2000,vitambaa vyeupe kwa shilingi 3000 nk..eti vina Muujiza.Kanisa katoliki halifundishi watu kuishi kwa hisis hisia bali linawafundisha watu kuishi katika mazingira halisi ya ubinadamu,kuwatengeneza watu kuwa msaada kwa jamii na sio makupe,kua na uwezo wa kufikiri wao wenyewe na sio mchungaji kufikiri kwa niaba yao.Kuishi Maisha ya kumtegemea Mungu kwa kuwa na misingi bora ya familia ili kua Raia wema na sio kuishi kama kwale au njiwa.
Nakubaliana na wewe sioni mantiki ya kutoa salamu nyingi za kidini ambazo haziongezi wala kupunguza chochote.Ni jambo la busara kuacha kutumia salamu zote za kidini katika mikutano yoyote turudi kama tulivyokuwa zamani ziko njia nyingi za kuanza kwa mikutano. Ndugu wageni waalikwa, .... na .... inafuatwa protocol basi huku tuache kwenda siko kabisa.
Wewe ulisema Vatican haihusiani na Roma, sasa nimekuwekea ushahidi wa wazi unakuja na hoja ya "theology".Kama huwezi kutofautisha kati ya Vatican na Rome basi uelewa wako wa Biblia na vifungu ulivyovinukuu hapa ni mdogo sana. Soma Basic theology na basic philosophy ndiyo utajua maana ya hayo maandiko.
Ni sawa tu kwani hayo ni maneno ya kiarabu, lakini hata nyinyi huwa munayasema kwa tafsiri ya lugha ya kiswahili.Mimi ni mkristo lakini napenda kutumia neno Allahu Akber .....!najua kusoma suratul kursi na mengi sana.
Huo ufunuo mim naweza sema ni dini ya Taoism wewe unasemaje?YESU KRISTO alisema, "Shetani ndiye baba ya uongo"
Sasa kama hujui basi fahamu kwamba kanisa katoliki linafundisha mambo ya "uongo". Kanisa hili lipo chini ya kivuli cha kuhubiri injili lakini injili inayohubiriwa ni ile ya uongo yenye lengo la kuwapotosha wanadamu na kuwafanya watumwa wa shetani.
Hili ni kanisa linaloongozwa na Ibilisi mwenyewe.
Ndugu, itafute KWELI na hiyo KWELI itakuweka huru. Soma Ufunuo 18:4-5
Mkuu tunarudi pale pale uongo wa mafundisho ya kanisa katoriki unapima kutumia ithibati ipi??YESU KRISTO alisema, "Shetani ndiye baba ya uongo"
Sasa kama hujui basi fahamu kwamba kanisa katoliki linafundisha mambo ya "uongo". Kanisa hili lipo chini ya kivuli cha kuhubiri injili lakini injili inayohubiriwa ni ile ya uongo yenye lengo la kuwapotosha wanadamu na kuwafanya watumwa wa shetani.
Hili ni kanisa linaloongozwa na Ibilisi mwenyewe.
Ndugu, itafute KWELI na hiyo KWELI itakuweka huru. Soma Ufunuo 18:4-5
Eti ile kujiita jiwe walijua hatakufa!!!sasa na leo Mama alivyo maliza suala la bandari ya bagamoyo, ndiyo huko yapo yana galagala tu!!Kuna wakati huwa najiuliza nashindwa kupata jibu hawa wafuasi wa magufuli walitakaje labda ? Walitaka magufuli asife jambo ambalo hawa uamuzi wao au walitaka katiba ipindishwe makamu wa rais asiapishwe kuwa Rais JMT au walitakaje maana hata siwaelewi.
UKWELI ni nini?Mkuu tunarudi pale pale uongo wa mafundisho ya kanisa katoriki unapima kutumia ithibati ipi??
Nashangaa unaleta habari za ufunuo sasa huo ufunuo unaeleza vipi uongo juu ya mafundisho ya kanisa katoriki?
Kwa dini ya Kislaam, Yesu au Issa ni miongoni mwa Mitume wa Mwenyenzi Mungu. Kuamini na kuheshimuMh Rais SSH alipobuni salamu yake minong'ono ikawa ni kuepuka kumsifu Yesu Kristo ktk salamu husika! Leo mama huyu kwa sauti laini iliyolegea amemsifu Yesu Kristo mpaka nikahisi mama ameshaungama na kuachana na uisilamu😜!
Yaani anapendezea anapoisema salamu hiyo! Kuna kauvuvio flani hivi! Hongera mama, ni mwanzo mzuri, umevuka kiunzi kingine kuelekea kuwa mlay😜, tena wa nguvu💪!
Nakupenda rais wangu kaza buti, usicheke na wapigaji...hapo nitakupenda daima...umeelewa lakini mama, ninaupendo wenye mashariti! Yaani timiza majukumu yako kama rais, nami nitakupenda kama rais wangu!
One love😜❤️!
Mkuu leta hayo mafundisho ya uongo ya kanisa katoriki?UKWELI ni nini?
Kweli ni NENO la MUNGU na hilo NENO limeandikwa kwenye Biblia. Sasa kipimo cha "uongo" ni KWELI.
Kanisa katoliki linafundisha kinyume kabisa na KWELI ya NENO la MUNGU.
Soma Wagalatia 1:6-9
Baba wa uongo wamedanganya kitu gani Leta hayo mafundisho mkuu sio kuleta ufunuo ufunuoYESU KRISTO alisema, "Shetani ndiye baba ya uongo"
Sasa kama hujui basi fahamu kwamba kanisa katoliki linafundisha mambo ya "uongo". Kanisa hili lipo chini ya kivuli cha kuhubiri injili lakini injili inayohubiriwa ni ile ya uongo yenye lengo la kuwapotosha wanadamu na kuwafanya watumwa wa shetani.
Hili ni kanisa linaloongozwa na Ibilisi mwenyewe.
Ndugu, itafute KWELI na hiyo KWELI itakuweka huru. Soma Ufunuo 18:4-5
Nilishaandika kila kitu kuhusu mafundisho ya kanisa katoliki yanayopingana na "Maandiko".Mkuu leta hayo mafundisho ya uongo ya kanisa katoriki