Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

Kitendo Cha Rais Samia kukutana na viongozi wa kanisa katoliki pekee ni cha kibaguzi sana Rais anahubiri haki huku akijua kuwa tabia aliyoianzisha ya kuwagawa Watanzania kwa imani ya Dini zao si cha kiungwana Tanzania ina madhehebu mengi sana kwa nn ukutane na dhehebu moja tu uyaache mengine huo sio ubaguzi? najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana

...watu wengine sijui wanafikiria na masaburi au ,!!
She is very experienced na mambo haya ya problem solving tree..kama hujui kuliko huyo aliyekuwa na PhD feki ya kukrem periodic table tena very few elements....

Yeye tena Mama jana kasema anataka kukutana na madhehebu yote separately kwanza...sasa tatizo lipo wapi ?

Mlizoea story za Jiwe za warembo weupe, sijui zaeni tuu km popo au mabeberu hewa ?

Hii number nyingine kabisa...ipo brain hapo na ataupiga mwingi saaaana...
 
Kanisa liache kutaka mteremko
Limeanzisha huduma za Elimu na Afya kibiashara
Basi lilipe kodi lisitake mteremko wa kusamehewa kodi wakati linatengeneza fedha
Sio hilo tu. Walianzisha vyuo visivyo na ubora kama kile cha Songea ili wapige tu pesa. Wapokee wanafunzi wa mikopo wapige pesa vyuo vikuu hata vidudu hawawezi kusomea hapo.

Makanisa yalipe kodi kwa taasisi zake za kibiashara.
 
najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana
images (4).jpeg
 
lakini lazima kodi ilipwe...
Nafikiri hayo madhehebu ya dini, kitu wanachoomba ni kwa serikali kujaribu kutoa incentives za punguzo za ki kodi kwao, ili kuendelea kusambaza huduma za jamii katika elimu,afya, maji nk. ambazo wanajaribu kuzitoa kwa kusaidiana na serikali katika maeneo yote ya nchi, zikiwepo hata sehemu nyingi za pembezoni ili kusaidia kuleta maendeleo ya jamii, lakini wakiendelea kulipa kiwango cha kodi kilicho rafiki.
 
Kitendo Cha Rais Samia kukutana na viongozi wa kanisa katoliki pekee ni cha kibaguzi sana Rais anahubiri haki huku akijua kuwa tabia aliyoianzisha ya kuwagawa Watanzania kwa imani ya Dini zao si cha kiungwana Tanzania ina madhehebu mengi sana kwa nn ukutane na dhehebu moja tu uyaache mengine huo sio ubaguzi? najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana
Unampigia debe amekuomba?? Wewe piga kazi na kama unatulizaga akili (kama zipo) ilitamkwa pale yakuwa awali mkapa,kikwete,Magu wote waliwahi kufanya hivyo na wakatoa chai yeye kawapa lunch!!
Sasa wewe unaakili kuliko marais wote hao na wasaidizi wao?? Jinga!!
Isitoshe katoliki kama taasisi inafanya mengi kwenye jamii unaachaje kuwasikiliza?? Waliongea kueneza ukatoliki au maendeleo na huduma??
Unachuki na mama wewe lakini utaishia kujinyonga,mama ni mpaka 2030 zamu yenu msoijua haki wala kweli kuhama nchi hii nendeni somalia ndo kunawafanania
 
VIONGOZI WA DINI WENYE HADHI YA KIBALOZI (WITH DIPLOMATIC PASSPORT) NI MUFTI SHEKH MKUU NA MWADHAMA KARDINALI. Usitegemee raisi aje kwenye hayo makanisa yaliyoanzishwa na watu.
 
Eti limepata hasara🤣🤣🤣🤣,kumbe ni business
Hivi unaweza kutoa huduma kama utakuwa unajiendesha kwa hasara siku baada ya siku? Si itafika mahali utashindwa hata kugharamia huo utoaji wa huduma sasa...

Hiyo faida ndo inatumika kuboresha huduma yenyewe na kuongeza utoaji wa hudumavmaeneo mengine.

Na nimefurahi kuona Askofu Nyaisonga akimsisitiza SSH kujenga taasisi imara. Zama hizi siyo za kutawaliwa na watu wenye nguvu kama kina Shaka Zulu.
 
Kitendo Cha Rais Samia kukutana na viongozi wa kanisa katoliki pekee ni cha kibaguzi sana Rais anahubiri haki huku akijua kuwa tabia aliyoianzisha ya kuwagawa Watanzania kwa imani ya Dini zao si cha kiungwana Tanzania ina madhehebu mengi sana kwa nn ukutane na dhehebu moja tu uyaache mengine huo sio ubaguzi? najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana
Mkuu dini sio fungu la vitunguu. Baadhi ya makanisa na taasisi fulani za kiislam zina maono tofauti, na mchango wake katika utoaji wa huduma za kijamii ni mkubwa sana. Sasa ukitaka Samia akutane na Wakatoliki labda na Askofu Gwajima, itakuwa si sawa. Maana wana malengo tofauti kabisa. Mwingine anataka waumini wake waende mbinguni tu, mwenzake anataka wawe na maisha bora ya mwili na roho.

Huwezi ukalinganisha mchango na Kanisa Katoliki katika utoaji wa Huduma za Kijamii na Taasisi yoyote hapa Tanzania iwe ya kidini au isiyo ya kidini (ukiacha serikali). Na hizi taasisi zenye walau mchango hakuna taasisi inayofikia hata 10% ya investment ya kanisa katoliki kwenye huduma za kijamii.

Kwanini usionane na taasisi yenye mchango kama huo peke yake?
 
Aisee mwendazake kweli alizingua yani naona nyaisonga analalamika mbele ya mama rais Samia kwamba kanisa likipata hasara Sana kwenye taasisi zake za elimu nk. Aisee yani mwendazake Basi tu.
Ndio maana ibilisi akapita naye
 
Mama akutane na makundi yooooote, ila mwisho akutane na Mataga. Wanateseka hawa watu jamaniii!
 
Mkuu, kwani mfumo wa kimadhehebu ndani ya dini ya Kikristo umetokea wapi? Je! Siyo ukweli ya kwamba dhehebu hili ndilo mama wa mengine? Kwa hiyo kwa kutangulia kwake kuwepo na nguvu ya mamlaka yake duniani ndiyo ukuu wenyewe. Hapo wala hakuna kejeli.
Ukweli unauma mkuu. Katoliki ndio msingi wenyewe wa ukristo. Hawa wengine ni biashara za watu haswa wamarekani, wenye kupenda kushindana na ukatoliki wakiongozwa na wivu.

TB Joshua hayupo tena duniani lakini ukiangalia DSTV channel 390 emmanuel TV bado wanamuonyesha akifanya miujiza!!, ndio ujue kwamba hawa wakristo wenzetu ni wafanya biashara (wajasiria dini).
 
Kitendo Cha Rais Samia kukutana na viongozi wa kanisa katoliki pekee ni cha kibaguzi sana Rais anahubiri haki huku akijua kuwa tabia aliyoianzisha ya kuwagawa Watanzania kwa imani ya Dini zao si cha kiungwana Tanzania ina madhehebu mengi sana kwa nn ukutane na dhehebu moja tu uyaache mengine huo sio ubaguzi? najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana
Papaaa upo nchi gani,Raisi ameiahakutana na viongozi wote wa dini,Dodoma,sasa hv ni wakati wa makundi,
Kila kikundi kina changamoto zake tofauti,
Roman katoliki,na lutheran,wanamiriki mashule,hospitari,viwanda,Wana jambo lao Hawa pekee,huwezi kuwalinganisha na kina kakobe,Gwajima,Lusekelo,Hawa wanamiriki jengo la kanisa tu hapa Dar,na mali kadhaa za pastor,ukifika Kibamba,hakuna kanisa la kakobe,Wala gwajima
 
Wanasuburi hayupo ndo wanamsema wakati walisali nae miaka yote!! Skuiz unafiki kila mahali kwakweli...
Kweli mwendwafyake mpaka shule za yatima alizikazia mf. St jude
 
Kumekucha Salama
Alisema Atakutana Na Madhehebu Yote Ya Dini Tanzania
 
Eti unamuita chuma!! Yule mwovu kamwe hawezi kupumzika kwa amani. Huko Jehenam bado Shetani amemuacha mlangoni kwa kuwa kika akisoma faili la maovu yake anamuona ni tishio hata kwa utawala wake.

Magufuli will REST IN HELL forever
Shenzi type
 
Back
Top Bottom