Kitendo Cha Rais Samia kukutana na viongozi wa kanisa katoliki pekee ni cha kibaguzi sana Rais anahubiri haki huku akijua kuwa tabia aliyoianzisha ya kuwagawa Watanzania kwa imani ya Dini zao si cha kiungwana Tanzania ina madhehebu mengi sana kwa nn ukutane na dhehebu moja tu uyaache mengine huo sio ubaguzi? najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana
...watu wengine sijui wanafikiria na masaburi au ,!!
She is very experienced na mambo haya ya problem solving tree..kama hujui kuliko huyo aliyekuwa na PhD feki ya kukrem periodic table tena very few elements....
Yeye tena Mama jana kasema anataka kukutana na madhehebu yote separately kwanza...sasa tatizo lipo wapi ?
Mlizoea story za Jiwe za warembo weupe, sijui zaeni tuu km popo au mabeberu hewa ?
Hii number nyingine kabisa...ipo brain hapo na ataupiga mwingi saaaana...