Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

Mh Rais SSH alipobuni salamu yake minong'ono ikawa ni kuepuka kumsifu Yesu Kristo ktk salamu husika! Leo mama huyu kwa sauti laini iliyolegea amemsifu Yesu Kristo mpaka nikahisi mama ameshaungama na kuachana na uisilamu😜!

Yaani anapendezea anapoisema salamu hiyo! Kuna kauvuvio flani hivi! Hongera mama, ni mwanzo mzuri, umevuka kiunzi kingine kuelekea kuwa mlay😜, tena wa nguvu💪!

Nakupenda rais wangu kaza buti, usicheke na wapigaji...hapo nitakupenda daima...umeelewa lakini mama, ninaupendo wenye mashariti! Yaani timiza majukumu yako kama rais, nami nitakupenda kama rais wangu!
One love😜❤️!
Hii si Salamu tu.... The same ukisalimua kwa kihaya uwapo huko au kichaa uwapo huko... Nini shida yake??
Mawazo yetu finyu Sana jamani
 
Aisee mwendazake kweli alizingua yani naona nyaisonga analalamika mbele ya mama rais Samia kwamba kanisa likipata hasara Sana kwenye taasisi zake za elimu nk. Aisee yani mwendazake Basi tu.
Huyu ni mnafiki tu
 
Msemakweli ni mpenzi wa Mungu..

Lazima niwaambie ukweli ndugu zangu..
Alitoa Biti Moja Kali Sana Yule Sister Aliyejiua

Ninyi Viongozi Wa Dini Mniombee Nina Siri Zenu Nyingi Sana 😆😅😄😃😂😁😀
Niendelee Kuzitunza
 
Wamuache kiumbe wa mwenyezi Mungu apumzike kwa amani, alivyokuwa hai mbona wote waliufyata....kile chuma hapa ndio nakikubali, undava undava...sasa hivi wapumbavu wananyanyua midomo na wengine kufikia kiasi cha kutaka kuanza kumsumbua mama.... RIP Magu....(mwenyezi Mungu msamehe huyu mzee kila ovu lake na umpe pumziko la amani milele)...

Nilipingana na kile chuma kwenye mitazamo fulani fulani, ila kuna mafala aliwanyoosha....eti leo nao wanavimba vifua kwa mama...jamaa alikuwa akiongea watu wote kimya kasoro kigogo tu...yaani kama mwamba basi ni kigogo peke yake...wengine wote mafala tu..bora mkae kimya tu, maana kama kudai haki mngeidai kipindi kile tuone kweli mnadai haki...
Kwamba kigogo aliwakilisha taifa kwa miaka sita kasoro😂😂
 
Wakishapata faida nono .. shukran Yao ni waraka kwa Viongozi wasio wa dini yao
Inaonekana waraka huwa unakuuma sana, kama hutaki kuuona hama nchi. Nyie wazee mna fikra mgando, chovu, za kichawi sana.
 
Wamuache kiumbe wa mwenyezi Mungu apumzike kwa amani, alivyokuwa hai mbona wote waliufyata....kile chuma hapa ndio nakikubali, undava undava...sasa hivi wapumbavu wananyanyua midomo na wengine kufikia kiasi cha kutaka kuanza kumsumbua mama.... RIP Magu....(mwenyezi Mungu msamehe huyu mzee kila ovu lake na umpe pumziko la amani milele)...

Nilipingana na kile chuma kwenye mitazamo fulani fulani, ila kuna mafala aliwanyoosha....eti leo nao wanavimba vifua kwa mama...jamaa alikuwa akiongea watu wote kimya kasoro kigogo tu...yaani kama mwamba basi ni kigogo peke yake...wengine wote mafala tu..bora mkae kimya tu, maana kama kudai haki mngeidai kipindi kile tuone kweli mnadai haki...
Ni kweli kabisa alipokuwa hai hakuna aliyethubutu kufungua mdomo wake. Leo hii yule aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha kageuka kabisa anahoji mambo ambayo JPM alipokuwa hai hangeweza kuyahoji.

Watanzania wengi ni wanafiki, na siku zote msingi wa unafiki ni uoga, kukwepa ule utayari wa kuyakabili majukumu.
 
Nipo pembeni nimejibanza huku nawasoma tu.
 
Alikutana na viongozi wote wa dini

Pia inawezekana TEC walimwomba; ulitaka akatae?

halafu inakuwaje unalaumu as if siku zimeisha

tuache upotosha wenye lengo la kuharibu
 
Yule kwa Imani ya kikristo alipaswa KUTENGWA.
Walimheshimu usoni rohoni hawakuwa pamoja naye,Sifa ya viongozi wa dini waliosoma phylosoph huwa hawabishani kwa mtu asiyeshaulika.
Wangelazimisha angeua wengi kwa siri kupitia mamlaka.

Fikiri leo SAMIA kapewa risala nzito,then kikao cha ndani(siri) na maaskofu.
"YULE ALIKUWA MUUMINI KAIDI"kwa mwavuli wa Amani
Hakupaswa kutengwa, ukristo hauwatengi wenye dhambi, nyie mnaojiona wenye haki hapa duniani ndio mtachomwa moto.
 
Kanisa liache kutaka mteremko
Limeanzisha huduma za Elimu na Afya kibiashara
Basi lilipe kodi lisitake mteremko wa kusamehewa kodi wakati linatengeneza fedha
Enyi wanafiki, wengi huwa mnakiri biashara ziliyumba wakati wa Magufuli, ila coz linazungumziwa kanisa hapo nawaona mnatoa mapovu tu.

Hizo huduma zimeanzishwa kibiashara sababu zinatakiwa kujiendesha, kuwalipa wafanyakazi na wahudumu wengine mishahara.

Sijaona kwenye hiyo habari hapo juu wapi Kanisa limeomba lisilipe kodi, hii habari ya kodi umeitoa wapi? mna mihemko mibaya sana nyie wazee wa madrasa.
 
Kitendo Cha Rais Samia kukutana na viongozi wa kanisa katoliki pekee ni cha kibaguzi sana Rais anahubiri haki huku akijua kuwa tabia aliyoianzisha ya kuwagawa Watanzania kwa imani ya Dini zao si cha kiungwana Tanzania ina madhehebu mengi sana kwa nn ukutane na dhehebu moja tu uyaache mengine huo sio ubaguzi? najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana
Kum******ko
 
Aliemlisha sakrament KABLA ya kufa nahisi anaelekea kumfwata
 
Kitendo Cha Rais Samia kukutana na viongozi wa kanisa katoliki pekee ni cha kibaguzi sana Rais anahubiri haki huku akijua kuwa tabia aliyoianzisha ya kuwagawa Watanzania kwa imani ya Dini zao si cha kiungwana Tanzania ina madhehebu mengi sana kwa nn ukutane na dhehebu moja tu uyaache mengine huo sio ubaguzi? najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana
Labda walimualika utajuaje?!
Sema kama Ratiba yake imeishia hapo!
Tusiwe wepesi wa kusema sema mkuu!
 
Back
Top Bottom