Rais Samia akutana na mjomba wake ambaye ni Mwarabu

Nasubiri comments za chuki kutoka kwa wafuasi wa Mwenaazake na wafuasi wa Chadema, hawa ni mapacha wawili kama Cain na Abel
propaganda za kuwa tunaongozwa na Mwarabu
Wacha hila dogo; wacha kusingizia na uchimvi
 
HiindiyoTanzania tuitakayo, yenye kuchangamya damu, inayowaalika wageni waje wahamie kwetu na sisi tuende kuamia kwao.
Kama Marekani ,Canada na Uk ni nchi Multicultural zenye watu wa Mataifa anuai duniani.

mama Lete Uraia Pacha ili Tanzania ifunguke., achana na ujinga wa Kitanganyika wa Samuel Sita eti wakija watapindua Zanzibar,
 
Nini mbaya mama akiwa na ndugu Oman?
Kuna watu tulikua nao Sasa hivi hatunao walikua na damu ya kihutu na walijifanya wazalendo kuliko sisi wazawa.
 
Nasubiri comments za chuki kutoka kwa wafuasi wa Mwendazake na wafuasi wa Chadema, hawa ni mapacha wawili kama Cain na Abel
propaganda za kuwa tunaongozwa na Mwarabu
Tuna bahati mbaya sana ya kuongozwa na viongozi wenye iq ndogo sana
 


Lini atakuja kututembelea nasisi Diaspora wa Afghanistan na Yemen...?
 
Kwa hiyo hata kuandika Suluhu wameshindwa?. au hivyo walivyoandika ni kikwao?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…