Rais Samia akutana na mjomba wake ambaye ni Mwarabu

Sijui kwanini yule bwana naye hakupiga selfie na baba zake
wadogo kule Buju
Sio hilo tu jamaa alikuwa haachi ushaidi, yule jamaa anatajwa kuwa alikuwa muuwaji ila hadi sasa hajulikani hata mmoja aliyemuuwa.
 
Mkuu unataka kusemaje hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na Kihaya na Kisukuma na Kiha wanaongea vizuri kuliko wazawa waliobaki TZ kama ambavyo unadai wanaongea Kiswahili fasaha kuliko sisi tuliobaki TZ ????
Wengi nilikutana nao huko, wakiwa kwenye makundi makundi (wakati wa pause - break), wanaongea kwa lugha hizo hasa hasa kiswahili! Nilipowauliza nikakuta wengi wazazi wao wapo vijijini Tanzania! Nasema lugha zao hazijaingiza maneno mapya kama sisi tuliobaki hapa. Utakuta lugha zetu za asili zime/zina changanya maneno mengi mapya hasa ya kiswahili na kingereza - mifano ni mingi.
 
Na Kiswahili chao wakiwa Uarabuni kimeongeza maneno mapya ???
 
Ndio maana kwa sasa tunafanya biashara ya tembo oman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…