Rais Samia akutana na Mwalimu Wake aliyemfundisha Chuo kikuu cha Mzumbe Mwaka 1983-1986

Rais Samia akutana na Mwalimu Wake aliyemfundisha Chuo kikuu cha Mzumbe Mwaka 1983-1986

Ndugu zangu Watanzania,

Katika muendelezo wa ziara yake Mkoani Morogoro ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo,uzinduzi na uwekaji wa mawe ya msingi kwa ujenzi wa miradi mbalimbali,utatuzi wa kero mbalimbali za wananchi.

Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,katika hali ya kuteka hisia za watu ameweza kuonana ana kwa ana Na Mwalimu wake Mama Sabina Gellejah ,aliyemfundisha alipokuwa mwanafunzi katika chuo hicho ambacho kwa sasa kinafahamika kama Mzumbe.

Kwa hakika Mungu ni Mwema sana .ukiangalia katika picha hii namna mama huyu alivyokuwa anaonesha uso wake uliojaa furaha na tabasamu mpaka unaona anatamani kutoa machozi ya furaha inagusa sana kiukweli.

Maana bila shaka Mama huyu haamini kama Ameweza kukutana uso kwa uso na Rais na Mkuu wa Nchi aliyepita mikononi mwake kama mwalimu wake. Haamini kama leo anaweza kupata nafasi ya kusalimiana na Mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu.Haamini kama ni yeye aliyeingia katika kitabu cha historia cha kufundisha Mwanafunzi ambaye amekuja kuwa Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu.

Bila shaka moyo wake umebubujikwa na machozi ya furaha sana kuona amepata bahati ambayo wengi hawapati katika Maisha yao yote mpaka wanakufa ,kuweza kupewa heshima ya hadhi ya juu kabisa kusimama na Rais Na kushikwa mkono kusalimiwa na kutambulishwa.

Leo Tanzania nzima imetambua na kumfahamu miongoni mwa watu waliompika na kumuivisha Mama yetu. Kwa hakika Mungu amjalie Maisha Marefu sana Mama na Mwalimu huyu aliyetupikia na kumfundisha Rais wetu Mh Dkt Mama Samia ,ambaye leo kama Taifa Tunajivunia uwepo wake madarakani.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Inatusaidia nini sisi hii habari?
 
Inatusaidia nini sisi hii habari?
Inatusaidia kujuwa kuwa ukiwa juu basi usisahau na kuwasahau waliokufikisha hapo.lakini pia tujitahidi kuwatendea haki watu wote tuwapo katika sehemu zetu za kazi maana hatujui kesho watakuwa akina nani na vipi watakuwa msaada katika maisha yetu.
 
Kumbe ni jinsi unavyojiweka ukiwa Raisi
Yaani mwalimu anakimbia hivyo na kwenda kumkumbatia Rais hivyo ila walinzi hawaku panic wala kujifanya kumlinda sana na mikeke kama mtangulizi
Nakumbuka mpaka Magu aseme mwacheni tena kwa sauti lakini bado walinzi watamzunguka huyo mtu kama ana bomb
Ila kama ni wame stage nao sawa ingawa siamini sana naona ni imani tu na wananchi mama amekubali hali hiyo maana kuna maraisi waoga Africa
 
Rais wetu ni mtu wa watu na kipenzi cha watanzania.
 
hivi ulimaliza chuo kweli gentleman kwa Sup zile? dah 🐒

au hata ulivyoenda kusapua ukakamatwa tena?

ila Tatizo haiku walimu gentleman, ni wewe mwenyewe ndio ulikua issue 🐒
Huyo hawezi kusoma chuo wala kupokelewa chuo chochote kile maana hana akili kichwani.
 
  • Kuhusu Kupa Heshima kwa Mwalimu:
    • Mtume Muhammad (S.A.W) alisema: "Yeyote anayeongozwa na kuwaongoza wengine kwa mema, anapata thawabu, na anayejifunza kutoka kwake anapata faida." (Hadithi hii inaonyesha kuwa mwalimu anayefundisha mema na kufundisha wengine anastahili kuthaminiwa.)
  • Kuhusu Heshima na Utambuzi:
    • Mtume Muhammad (S.A.W) alisema: "Mtu ambaye haishughuliki na elimu anapaswa kuwa na heshima kwa wale wanaoifanya kazi ya kutoa elimu." (Hadithi hii inaonyesha umuhimu wa kumheshimu mwalimu kwa kazi yake ya kutoa elimu.)
Hiyo siku mtume anaongea wewe ulikuwa wapi?
 
Bado sijapata ban inakuuma sana.

Waliniambia kuwa wewe Shoger kumbe ni kweli aisee.
Si unaona unavyo ropoka ropoka.ndio maana nikasema wewe kwa akili yako hakuna chuo kinaweza kupokea.maana chuo wanakwenda watu wenye akili Timamu na wanaojitambua vyema.
 
hivi ulimaliza chuo kweli gentleman kwa Sup zile? dah 🐒

au hata ulivyoenda kusapua ukakamatwa tena?

ila Tatizo haiku walimu gentleman, ni wewe mwenyewe ndio ulikua issue 🐒
One mjinga mwingine huyu.

Mmekusanyana wote kutembelea nyota za wengine.

Hapo ulipo unategemea unitukane ili upate ujiko. Fala mzee wewe. Fanya mambo yako achana na mimi.
 
One mjinga mwingine huyu.

Mmekusanyana wote kutembelea nyota za wengine.

Hapo ulipo unategemea unitukane ili upate ujiko. Fala mzee wewe. Fanya mambo yako achana na mimi.
Hujitambui kabisa.
 
Si unaona unavyo ropoka ropoka.ndio maana nikasema wewe kwa akili yako hakuna chuo kinaweza kupokea.maana chuo wanakwenda watu wenye akili Timamu na wanaojitambua vyema.
Haha. Hapo umekaa unasubiri nipate ban ufirahi. Hopeless fellow.
 
Back
Top Bottom